Tundu Lissu vs Mizengo Pinda, nani zaidi?

Mkuwe makini akipita humu akiona ataenda kulia bungeni apoteze muda wa kujadili mambo ya msingi
 
Tundu Lisu zaidi ni mtaalamu wa kujenga hoja,ni msomi anayejitambua,ameamua kuwatumikia wananchi zaidi kuliko chama,hasaidiwi kujibu maswali na watoto wa njiwa(spika),ana uchungu na nchi yake. halafu huyu mwenzetu wa huku kwetu hajui kujenga hoja,japo ni msomi hajitambui,ameamua kutumikia chama zaidi kuliko serikali anayoiongoza,amekuwa akisaidiwa zaidi na spika asijibu hoja nzito,hivyo hana uchungu na nchi yake.natoka...!:flypig:
 
Tundu Lissu ndo zaidi mwenye hoja za kujenga nchi compare to hoja uteuzi wa majaji wasio na vigezo,pm kimeo
 
Tundu Lusu zaidi anauzoefu wa hali ya juu wa siasa na kazi
Alikuwa Program Ofisa wa NGO
Amekuwa mbunge kwa miaka miwili
Uzoefu huu hakuna kiongozi yeyote duniani anaweza mzidi.

Nakuunga mkono. Tatizo hujasema uzoefu wa kufanya nini?
Angalau wa Pinda tunaujua.
- ana uzoefu wa kusema uongo bungeni.
-ana uzoefu wa kuzidiwa nguvu na mafisadi. Si unakumbuka alipokiri mafisadi hawakamatiki na tukiwakamata nchi itayumba?
-ana uzoefu wa kushughulikia wanaogoma kudai haki. si unakumbuka aliposema liwalo na liwe kwa madaktari kesho yake tu kiongozi wao alikutwa Mabwepande hana meno, na ameg'olewa kucha?
-ana uzoefu wa kuficha ukweli wabunge. mfano mradi wa meremeta alidai ni usalama wa taifa wakati kwenye mradi kuna wazungu wa nje. yaani usalama wa taifa wetu wazungu wanashirikishwa lakini wabunge wetu hawatakiwi kujua chochote.
- Ana uzoefu wa kufanywa zuzu na Mr Dhaifu. si unakumbuka alisema serikali haitanunua magari mapya kwa viongozi akiwamo yeye mwenyewe lakini haikupita muda yakanunuliwa (hakujua kwamba anataka kuzuia madili ya wenzake). si unakumbuka pia Mr Dhaifu alivyomgeuka issue ya Jairo?

Kwa kweli Pinda ana uzoefu jamani.
 
Bwahahahahahaha! Tundu Lusu anakaribiana sifa zake na Yesu kristo wa Nazareti aliyekufa msalabani golgota.
 
Tundu Lusu zaidi anauzoefu wa hali ya juu wa siasa na kazi
Alikuwa Program Ofisa wa NGO
Amekuwa mbunge kwa miaka miwili
Uzoefu huu hakuna kiongozi yeyote duniani anaweza mzidi.
Ukiongea kwamba Lissu amekuwa mbunge kwa miaka miwili hapo, Je Pinda anauzoefu wa siasa miaka miaka mingapi?
 
Bwahahahahahaha! Tundu Lusu anakaribiana sifa zake na Yesu kristo wa Nazareti aliyekufa msalabani golgota.
We unatakiwa ukatubu kabla siku ya hukumu haijafika. Yaani Lissu anamkaibia Yesu. sijapata ona
 
Ukiongea kwamba Lissu amekuwa mbunge kwa miaka miwili hapo, Je Pinda anauzoefu wa siasa miaka miaka mingapi?

Hana uzoefu kabisa eti alikuwa akifanya kazi ikulu tangu enzi za Nyerere, amekuwa katibu wa baraza la mawaziri, akawa waziri ndipo kachaguliwa kuwa waziri mkuu. Huwezi kumlinganisha Lissu ambaye hata kadi yake ya CDM imeandikwa July 2010 na amefanya kazi kwenye NGO. Lissu yupo juu.
 
Bange za mchana ni sooooooooooooooooo,UNAWEZA KUMLINGANISHA LISU NA PINDA KWELI??JITU LINALOLIA BUNGENI LILILOSHINDWA HATA KUSIMAMIA MISIMAMO YAKE??KWANZA UKIMWANGALIA PINDA VIZURI USONI UTAGUNDUA KUWA NI AB NOMO HAWEZI KULINGANISHWA HATA NA MWENYEKITI WA KATA WA BAVICHA
 
Ndio hapo sasa Lissu ni mnoma joh!
 
Back
Top Bottom