Tundu Lissu: Video ya hotuba ya katiba na sheria 2012/2013

2015

Senior Member
Aug 13, 2011
123
40
Wadau hotuba hii ilikuwa nzito sana na imeacha impact kubwa sana na mjadala mpana kwa mambo mbalimbali, please km kuna mtu ana video yote namuomba aniwekee hapa ili niwe naisikiliza kila siku.

asanteni sana
 
umenena mkuu hata mimi naitafuta sana
 
Afisa Habari wa chadema ndugu Tumain Makene km hauna utaratibu wa kutunza video za hotuba za upinzani bungeni in full tunakuomba uanze ili uweze kukata kiu zetu kwa hotuba zijazo
 
Back
Top Bottom