Tundu Lissu umeniagusha!

Rutakyamilwa

JF-Expert Member
Feb 27, 2009
1,872
1,235
Leo wakati unachangia hoja ya Mh. Mwakyembe, ulisema kuwa katika hotuba yake hakutaja mahali popote ambapo alitaje ajali ya MV Skagit na kutoa pole kwa wahanga. Mbunge mwenzako akatoa preliminary objection kuwa ukurasa wa tatu, aya ya 6 yote uliyolalamika yamefanywa na Mh Mwakyembe. Mh. Tundu Lisu, umeniangusha sana leo. Sikutegemea kuwa ungelileta hoja ambayo hujaifanyia utafiti.

Mwakyembe alitaja na kutoa pole yaliyotokea MV Skagit. Suppose you were in the Court of Law, a preliminary objection would have been raised against you. That would have been fatal to your client- by stiking out the incompetent application/appeal etc as being incompetent with costs!!!! It was good that you conceded defeat, that was brave!

Ni funzo usifanye hivyo tena, tunakuamini sana as a competent lawyer/politician to make such a simple mistake. Nina wasiwasi kama una ushahidi wa kuhongwa kwa uliowataja na umetakiwa kutoa ushahidi. Naanza kuwa na mashaka!!!
 
kaa na wasiwasi wako,sidhani kama tundu kakuangusha au unataka ufikishe ujumbe kutetea waliotajwa na lisu kuwa wanahusika na mlungula,
 
kwa mimi ambaye sijaangalia bunge leo hata sijakupata,sijakuelewa vizuri,tafadhari Rutakyamilwa unaweza kuongeza maelezo ya ziada ili ueleweke vizuri hasa kwa wale ambao hatufautilii BUNGE kwa sasa?kwa mfano,nini kimetokea ?kimetokeaje ktk mtitiriko gani?
 
Last edited by a moderator:
Mh. Tundu Lisu, umeniangusha sana leo. Sikutegemea kuwa ungelileta hoja ambayo hujaifanyia utafiti. Mwakyembe alitaja na kutoa pole yaliyotokea MV Skagit. Suppose you were in the Court of Law, a preliminary objection would have been raised against you. That would have been fatal to your client- by stiking out the incompetent application/appeal etc as being incompetent with costs!!!! It was good that you conceded defeat, that was brave!!!! Ni funzo usifanye hivyo tena, tunakuamini sana as a competent lawyer/politician to make such a simple mistake. Nina wasiwasi kama una ushahidi wa kuhongwa kwa uliowataja na umetakiwa kutoa ushahidi. Naanza kuwa na mashaka!!!
haiingii akilini lisu awaite waaandishi atoe taarifa isiyotafitiwa? lisu ni lawyer wewe alifaham sana impact ya kitu alichokuwa anafanya. so heebu kaa kimya the truth will come out soon!!!
 
Mimi nilimsikiliza TUNDU Lissu that day. Sikusikia sehemu aliposema hawa wamekula rushwa Tundu Lissu alitaja watu wenye Masilahi Binafsi walio ndani ya Kamati ( Conflict of Interest). Sasa najaribu kusoma kwenye vyombo vyetu vya habari naona watu wanasema kataja waliokula rushwa. I stand to be collected
 
kwa mimi ambaye sijaangalia bunge leo hata sijakupata,sijakuelewa vizuri,tafadhari Rutakyamilwa unaweza kuongeza maelezo ya ziada ili ueleweke vizuri hasa kwa wale ambao hatufautilii BUNGE kwa sasa?kwa mfano,nini kimetokea ?kimetokeaje ktk mtitiriko gani?

Pole nimerekebisha, go and read again!
 
Last edited by a moderator:
ni kwamba lisu alikuwa analaani kitendo cha mh. mwakyembe kusoma hotuba yake yote bila hata sehemu moja katiba yake kutoa pole kwa watu waliofiwa na kujeruhiwa katika ajali hiyo ya meli ya stagik ikiwa tukio hilo limetokea ndani ya wazira yake, ndipo mb mmoja wa gamba akasemba na kutaka taarifa na akasema kuwa lisu hakusoma vizuri hotuba hiyo na akasoma sehemu ya hotuba ambayo imetoa pole kwa wafiwa wa maafa hayo. ndipo lisu akakubali kuwa hakuona vizuri sehemu hiyo
 
huyu anamaanisha mh.Lissu huenda akakosa ushahidi kwa wale waliopokea rushwa kutoka tanesco. Wengi wao ni kutoka kamati ya nishati na Madini. Namuwasilishia.
 
haiingii akilini lisu awaite waaandishi atoe taarifa isiyotafitiwa? lisu ni lawyer wewe alifaham sana impact ya kitu alichokuwa anafanya. so heebu kaa kimya the truth will come out soon!!!

Mbona tuko sawa mimi na wewe. Nilitegemea Tundu Lisu asingeli-concede defeat kuwa amekosea kosa dogo. Nimefafanua post yangu nenda kasome tena. Tundu namuamini sana sikutegemea afanya kosa kama nilivyolieleza kwenye post.Kama kafanya hilo, anaweza akafanya lingine kama hilo!
 
Mimi nilimsikiliza TUNDU Lissu that day. Sikusikia sehemu aliposema hawa wamekula rushwa Tundu Lissu alitaja watu wenye Masilahi Binafsi walio ndani ya Kamati ( Conflict of Interest). Sasa najaribu kusoma kwenye vyombo vyetu vya habari naona watu wanasema kataja waliokula rushwa. I stand to be collected

Mkuu mgomo wa walimu una siku nne na hapo kwenye red naona madhara ya mgomo huo yashakufikia.
 
Mh!!, Uongo na unafki sio mzuri, CDM Ni chama makini na Lisu amekua makini kwa muda wote niliowahi kumsikia. ila leo hata mimi ameniangusha. Ushujaa wake ni pale alipokubali ameteleza.
 
Tundu Lissu ni mropokaji kila mtu analijua hilo, kila siku amalizi kutoa vituko bungeni
 
Kwa nini mnabishia Rutakyamilwa kwa mambo ya kipuuzi aliyoyafanya Lissu kwa vile humu wamejaa Pro-CDM basi asikosolewe Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani? ni mara ngapi anataka ajionyeshe kwenye TV tuu tena leo kabisha kwa ukali kabisa km kawaida yake huku akizunguka pande zote na kumshutumu Mwakyembe.
Tuwe Bias na hoja zinazowekwa humu (WAKWELI)
 
Tundulisu alianza kuchngia bajeti ya wizara ya uchukuzi kwa kumlaumu Mwakyembe kwamba hakutoa pole kwa waanga waanga wa ajali za meli Zanzibar, ndipo mbunge mmoja akatoa taarifa kwa kutoa ushahidi kwenye hotuba ya mwakyembe ukurasa wa tatu sehemu alipotoa taarifa. Kwangu mimi simlaumu sana tindulisu huenda hakuioona hiyo sehemu wakati anapitia hiyo hotuba ukizingatia wakati mwakyembe anatoa hoja yeye (Tundulisu) hakuwa bungeni
 
Mimi nilimsikiliza TUNDU Lissu that day. Sikusikia sehemu aliposema hawa wamekula rushwa Tundu Lissu alitaja watu wenye Masilahi Binafsi walio ndani ya Kamati ( Conflict of Interest). Sasa najaribu kusoma kwenye vyombo vyetu vya habari naona watu wanasema kataja waliokula rushwa. I stand to be collected

To be Corrected.

Otherwise, i think you are right.
 
Back
Top Bottom