Tundu Lissu, rejea jimboni ujionee unavoligeuza jangwa

Jimboni kwa Tundu LISSU yeye ndie Afisa misitu na afisa kila kitu.Haheshimu wataalamu wengine.Afisa misitu akisema msikate miti yeye anasema kateni chomeni mkaa.
Acha Unafiki Mbunge hana mamlaka ya Kuagiza mambo ya watendaji. Tunachojua sisi alikataza watu kuchangia miradi ya maendeleo na kisheria yuko sahihi lakini sio ukataji wa miti. Tundulisu ni Father Lawyer hawezi kuvunja sheria otherwise sheria ziwe zinaruhusu uvunaji holelea wa misitu.
 
Jamaa amezungumzia miti,watu mnamtolea mapovu tu,hata jangwa la Namib lina miti.

Ninyi mnasema kuna vichaka,kwani yeye amesema kuna misitu?
 
Back
Top Bottom