Tundu Lissu, rejea jimboni ujionee unavoligeuza jangwa

Mbunge Tundu Lissu nakukubali sana kwa mchango wako katika taifa ila kwa uelew wangu mimi naona ulivowaambia watu wa jambo lako wakate mkaa kwel hapo hujaamua vizuri.

Vjana wote wamekat miti kwa kujiamin kwamba eti hakuna mtu atakaewasumbua ina sasa wamemalza miti yote hakuna mapori tena.

Munio wakho! Fitina za kipuuzi unaleta hapa, Lissu ataendelea kukufanya mpaka ughoe
 
Mbunge Tundu Lissu nakukubali sana kwa mchango wako katika taifa ila kwa uelew wangu mimi naona ulivowaambia watu wa jambo lako wakate mkaa kwel hapo hujaamua vizuri.

Vjana wote wamekat miti kwa kujiamin kwamba eti hakuna mtu atakaewasumbua ina sasa wamemalza miti yote hakuna mapori tena.

Ningekuunga mkono kama ungetoa na suluhu ya kwa nini watu wanakata miti kwa ajili ya mkaa.

Tatizo sio Tundu Lissu kuwashawishi watu wakate miti kwa ajili ya mkaa( kama ulivyodai ), tatizo ni serikali! Kwanini wasipunguze gharama ya nishati mbadala ya umeme, gesi na mafuta ya taa na kutoa elimu kwa watanzania kutumia nishati hizo na ambazo ni rafiki kwa mazingira?

Badala yake hatuoni kila siku serikali ikipandisha kodi kwenye mafuta ya taa, umeme na hata hiyo gesi na kufanya matumizi ya nishati hizo kuwa anasa hasa kwa watu wa kipato cha chini na kati? Kwa hali kama hiyo utategemea nini?

Kuwa mkweli ndugu yetu mtoa mada, kama nishati mbadala ktk nchi hii ingekua cheap, basi hilo tamko la Lissu lingepuuzwa kabisa na hao wananchi wa jimbo lake na watanzania wote kwa ujumla.
 
Jimboni kwa Tundu LISSU yeye ndie Afisa misitu na afisa kila kitu.Haheshimu wataalamu wengine.Afisa misitu akisema msikate miti yeye anasema kateni chomeni mkaa.
Huwa nawashangaa wanao fuata Akili za tundu lissu
 
Mtoa mada ni muongo,ninachofahamu mimi Lissu alifuta mageti yote ya ushuru na ushuru mdogo wa sokoni.Hii habari ni ya kinafki.Sgd yote jimbo lenye misitu ya asili ni sgd mashariki tu.
 
Wewe ni mgumu kuelewa. Singida ilikuwa na miti mingi asilia kuliko hata miti ya kupandwa ya Mafinga au Njombe.Tuache ushabiki au apambe kwa Lissu.Kama anaruhusu miti ikatwe basi huyo hatufai.
Acha ujinga wewe.....Singida nimeishi tangu udogo wangu....Lissu amekuwa Mbunge mwaka 2010....Hakuna Misitu singida kuna Vichaka.....Acha Uongo
 
Unapotoa tuhuma ni vizuri ukawa na ushahidi.Humu jukwaani tupo wengi tuliozaliwa na kukulia huko.Hivyo usikurupuke tu na kuanzisha uzi bila utafiti.
 
safi sana Tundu Lissu..Tunawataka wabunge kama hawa kusukuma maendeleo mbele.
 
kwani miti ya alizet si inaota haraka wacha wakate tuu shida iko wap itapandwa mingine tu lissu twende
 
TATIZO Lenu MMEKUWA WANAFIKI, Kiasi Cha Kushindwa Kuelewa Kuwa Kila Kitu Kinaendeshwa Kwa Mujibu Wa SHERIA Za NCHI, MIJI, HALMASHAURI, MANISPAA, VIJIJI, MITAA, VITONGOJI NA KATA!!! HIVI Kwa Mujibu Wa SHERIA Za Maliasili, Mazingira Na Hifadhi!! MBUNGE Ataweza Kuwaruhusu Wananchi Wa Jimbo Lake Wavunje SHERIA Hizo, Kwa KUUHARIBU Misitu, Hifadhi Na Mazingira!! HUKU Wasimamizi Wa SHERIA Hizo Wakamuogopa Huyo Mbunge Na Wananchi Wake, Kuwakamata Na Kuwafungulia Mashitaka!!!!!? HIYO Haipo, Tena Mbunge Wenyewe Anatokea Upinzani, Na WANANCHI Nao Ndio Waliomchagua Huyo Mbunge Toka UPINZANI!!!!?? SIPATI Picha Hicho Kichapo Ambacho Kingetembezwa Kwao!!! ILI KUMDHARIRISHA Mbunge Na Kumbomoa Kisiasa, Kama Hivyo Unavyojaribu Kumbomoa Mh. TUNDU LISSU, Kisiasa!!!!
 
........ni aibu taiafa kuwa na vijana wa namna yako.......watu kama wewe korea wanawachinja ili mbwa wapate chakula.......
madhara ya tendo la ndoa kufanyikia chooni ndio haya kunazaliwa viumbe wa hovyo sana laumu wazazi wako
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom