Tundu Lissu ni mfitini na asiye na akili timamu - Muhammad Chomboh

Kwa sisi tuliosoma nahao enzi hizo tunakumbuka tulifundishwa kuwa " debe tupu haliachi ............?

Ha ha haaa, mkuuu umenikumbusha mbali sana....debe tupu haliachi kutika!
 
Suala ni kupima maneno yake kuwa Tundu Lisu ni mfitini na mtu asiye na akili kama yana ukweli wowote. Kutuletea elimu yake hapa haitasaidia kumfanya Tundu Lisu kuwa na akili au kuwa siyo mfitini. Hili suala la elimu ya huyu Mheshimiwa linatakiwa lianzishiwe mjadala mwingine ambao hauna uhusiano wowote ule na maoni aliyotoa juu ya TUNDU.
Oh! bila kigezo cha shule unapimaje hizo akili hapa Tz??? Labda asingetaja akili ili ajenge hoja kwenye ufitini
 
hawa wabunge wa darasa la saba na kuchaguliwa kwa kishindo kwa kura 3,400 (narudi kura elfu tatu na mia nne) wana tabu sana!! Wazenji wanadekezwa sana...CCM wa bara wanaogopa kuwaudhi wa zenji...Lissu hawakopeshi...he names white what is white PERIOD!!! Ona sasa utetezi alioutoa kwenye Kamati ya Nidhamu na Maadili-wooote nyuso zimewasinyaa!! Mtu anatetea mhimili muhimu wa kutoa haki, wao wanaleta u-chama na u-dini!!!
 
Suala ni kupima maneno yake kuwa Tundu Lisu ni mfitini na mtu asiye na akili kama yana ukweli wowote. Kutuletea elimu yake hapa haitasaidia kumfanya Tundu Lisu kuwa na akili au kuwa siyo mfitini. Hili suala la elimu ya huyu Mheshimiwa linatakiwa lianzishiwe mjadala mwingine ambao hauna uhusiano wowote ule na maoni aliyotoa juu ya TUNDU.

Nadhani wewe pia ukustahiri kuwa sehemu yetu umu GREAT THINKER kwani hujui kwa kuona CV ya mtu unaweza kutambua na kudadavua uwezo wake wa kufikiria unaisha wapi? wewe na huyo MH MUHHAMAD uwezo wenu wa kufikiria unaishia pale CHUMBE.
 
Mkuu habari yako,

Kuwa na elimu ya juu zaidi ya mwenzio haina maana wewe una akili kuliko ambae hajasoma level yako! Mfano mdogo mimi wazee wapo ambao hawajasoma na wapo waliosoma elimu ya juu zaidi lakini wanawaheshimu wazee (mama yao na ndugu wa marehemu baba yao) licha hawakusoma.

Kuna ndugu yangu mmoja anasomea masuala ya fisheries ameenda kuchukua masters yake eti ameenda kusoma akitupa mshipi samaki akikamata ndoana aweze kutambua huyu ni samaki wa aina gani kabla ya kumuibua! wakati wazee wasio na elimu wa ukerewe wanajua hili bila ya kusoma darasani. Wazee wa chongoleani na mwarongo wanajua kama aliekamata ndoana ni tasi au chafi lakini mtu anaenda kusoma ili aelewe.

Kusoma sio akili kaka hata ahao unaowapigia chepuo wapo ambao elimu zao ni za kuunga unga.
Mkuu Shossi huku kwetu hata ukiona unyayo wa kiboko asbh unatambua alikuwa jike au dume. hapo kwenye samaki ndo usiseme. karibu sana kwetu upate darasa la bure
 
Nadhani wewe pia ukustahiri kuwa sehemu yetu umu GREAT THINKER kwani hujui kwa kuona CV ya mtu unaweza kutambua na kudadavua uwezo wake wa kufikiria unaisha wapi? wewe na huyo MH MUHHAMAD uwezo wenu wa kufikiria unaishia pale CHUMBE.

sikatai mawazo yako .
Kwangu mimi simpimi mtu kwa kuangalia cheti chake au amesoma madarasa mangapi nampima uwezo wake wa kufanya mambo kwa usahihi na makini nasema hivi kwa sababu kuu hii na nyinginezo hebu angalia watu wetu wanaongoza nchi wana madarasa ya kutosha lakini hamna kitu

tatizo la wabongo lipo hivyo, wana elimu kubwa sana ya kujisifia tu wala si ya kutenda...wakiambiwa ukweli wanachachatika na kufoka tu...hata kama mtu anaongea vitu ovyo ovyo tu kama afanyavyo Tundu Lissu kwao wao kama hajatokea Profesa akasema Lissu kakosea hawataelewa...bado wabongo wanaishai zama za kufikiri 'charismatism' kama walivyofundishwa na Mwalimu wao Nyerere...hawawezi kufikiri wenyewe...Sikonge think again!
 
Mkuu,

Hebu soma Point za Tundu Lissu kuhusu Majaji Vihiyo na jinsi ambavyo KATIBA ya nchi imevunjwa kuwachagua au kuwaendelezea muda wao. Ni madudu matupu.

Ungelionekana wa maana kama ungelifika hapa na kutuwekea point zako kuonyesha kuwa Tundu Lissu kapishana na ukweli. Haya ya mambo ya Nyerere au Karume sijali sana maana miaka hiyo hata sikujua nini kinaendelea. Watu tunasikiliza hadi akina Obama na Romney wanavyomwaga Point/Pumba na tunazichambua, itakuwa hizi za Tanzania?

Usiache nikakusema kama Usain Bolt alivyomwambia Carl Lewis. I know you can do better, so be honnest atleast during this Holly Month. Hizi Swaumu zenu hamziogopi mnapodanganya?
tatizo la wabongo lipo hivyo, wana elimu kubwa sana ya kujisifia tu wala si ya kutenda...wakiambiwa ukweli wanachachatika na kufoka tu...hata kama mtu anaongea vitu ovyo ovyo tu kama afanyavyo Tundu Lissu kwao wao kama hajatokea Profesa akasema Lissu kakosea hawataelewa...bado wabongo wanaishai zama za kufikiri 'charismatism' kama walivyofundishwa na Mwalimu wao Nyerere...hawawezi kufikiri wenyewe...Sikonge think again!
 
Kwani yeye Chomboh ana lipi la kuudhihirishia umma kwamba yeye is better than Lissu, Wazenj have the late Karume to blame for all their muungano woe!, kwa sababu ni yeye aliyekurupuka kuja bara kwa Mwalimu kuomba muungano bila kuelewa alichokuwa anakifanya. woga baada ya mapinduzi ndio kilichomponza karume.
Chomboh, You know the words but you miss their meaning! pole sana
 
Mkuu,

Hebu soma Point za Tundu Lissu kuhusu Majaji Vihiyo na jinsi ambavyo KATIBA ya nchi imevunjwa kuwachagua au kuwaendelezea muda wao. Ni madudu matupu.

kwani tunaongea kuhusu uteuzi wa majaji nakatiba eheee???!!!
 
What is EDUCATION?

Education comes from the word "Educo" which means Developing within By using the knowledge U have.

Tundu is using the Knowledge he has to develop this country katika Suala zima ya Sheria na Mahakama.

Sasa mzee wangu wa Zenji hiyo Diploma aliyokuwa nayo ndio inafanya Tundu awe Mfitini, Tunaomba Mtoa maada Hatuambie Points alizotumia Mbunge wa zenji kumwita Tundu, mfitini Otherwise YeYe Muhammad Chomboh ndiyo mfitin mkubwa.

Regards.

Jangakuu

email: jangakuu@yahoo.com
 
tundu huwezi kumfananisha na huyo mbunge kwa lolote!km hutaki muulize werema km anamkuta hata robo kwa weredi wa sheria!!
 
Back
Top Bottom