Tundu Lissu ni mfitini na asiye na akili timamu - Muhammad Chomboh

Unapotaka kuchambua maoni ya mtu ni kawaida kumfahamu wasifu wake. Hii inasaidia kujua upeo wake unakomea wapi. Anaweza kueleweka zaidi tukijua kiwango chake cha elimu. Ndiyo maana tunanukuu usemi au falsafa ya Prof au Jaji fulani lakini hatunukuu usemi wa vihiyo.
 
Ukimtukana mtu kwa hoja yake kisha ikadhihirika alicho sema ni sahihi yale matusi yanakugeukia mara nyingi zaidi na kwa mapana.Tundu katukanwa sana hata kwenye mjadala wa katiba na ikaja julikana yuko sahihi.Hawa wabunge wa CCM hawajifunzi tu kuwa huwa wanajitukana wao wenyewe?
 
Mh. Muhammad Amour Chomboh ungetuonesha basi at least una hold hako ka diplona na kutuambia UONGO aliousema Tundu Lissu ni Upi? Na UKWELI ni upi ili tujue TL ni mfitini kweli.

Lakini kutoa blacket STATEMENT kwamba TL ni MUONGO NA MFITINI bila kuonesha uongo wake, inazidi kutupatia mashaka makubwa na hiyo DIPLOMA yaoe taking into consideration SECONDARY ULISOMA MIAKA 2 tu, kinyume ni mitaala yetu. Mwanzoni nilifikiri labda wewe ni GENIOUS ulikuwa unarushwa madarasa lakini kwa hoja hii, inaonekana hata FORM IV hukumaliza. I stand to be corrected.
 
Suala ni kupima maneno yake kuwa Tundu Lisu ni mfitini na mtu asiye na akili kama yana ukweli wowote. Kutuletea elimu yake hapa haitasaidia kumfanya Tundu Lisu kuwa na akili au kuwa siyo mfitini. Hili suala la elimu ya huyu Mheshimiwa linatakiwa lianzishiwe mjadala mwingine ambao hauna uhusiano wowote ule na maoni aliyotoa juu ya TUNDU

...............

The problem with the world is that the intellegent people are full of doubts before doing or say anything while the stupid ones are full of confidence to say and do anything.

Hi ya mwisho inakuhusu Chomboh MP of Magomeni village.
 
Kuna jamaa kaniandikia PM kuwa yeye ana asili ya Singida, sehemu anayotoka Tundu Lissu na kwa taarifa yake ni kuwa Tundu Lissu hajafanya kitu kabisa huko kwao.
Kumsoma zaidi nakuta kumbe ana asili ya IRAMBA MASHARIKI wakati Tundu Lissu ni mbunge wa Singida Mashariki.

Kibaya zaidi kaponda sana huko kwao kuwa kwa miaka 2 na miezi 10 hakuna kilichofanyika. Nimepekua na kukuta kwamba mbunge wa Iramba mashariki ni wa CCM anaitwa Salome Mwambu.

Nimecheka sana kuona mtu KAJIFUNGA mwenye goli.

CHADEMA kazeni buti kwani Iramba Mashariki kuna kibonde wa CCM anaitwa Salome Mwambu (kutokana na maelezo ya kwenye PM).

Hebu soma: "... achaguliwe kuwa mbunge mwaka 2010 leo ni zaidi ya miaka miwili na miezi 10 je kwa elimu yake ameisaidia nini Iramba Mashariki? Kumbuka mimi asili yangu ni wilaya ya Iramba ...... Tarrafa ya Gumanga kwahiyo Lissu anatokea ninapotokea mimi wala hatokei Sikonge!"
 
Radhia Sweety,

Mimi sifikirii eti mtu akiwa na degree basi ana akili nyingi sana tuseme ukweli hivi mbona kuna vichwa vinakubalika humu jf lakini havina hata hoyo diploma? mfano gonga hapa Parliament of Tanzania

sasa iweje leo hii mtu akisema kitu mnakimbia hajasoma au hana elimu? hao wenye elimu si walizaliwa na wasio na elimu? je baada ya kupata hizo elimu zao hawakuwasikiliza wazee wao kwa kuwa hawana elimu? agrrrrrrrrrrrrrrr


Mohamedi,

Utake usitake ELIMU inasaidia sana katika kuona mambo inakupanua sana akili. Ndio maana wazee wetu wanatuambia 'elimu ni ufunguo wa maisha". Angalia nchi zilizo endelea mfano USA, hakuna mbunge (congressman) asiye na degree- yaani hakuna HIGH SCHOOL bungeni kwao. Huwezi kudispute ELIMU katika uongozi. kama unataka, try ignorance.

Jipange kaka- ELIMU haipingiki STD 7 na chuo kikuu wapi na wapi!
 
Samahani kwa kurudia usemi huu ingawa uko common yaani nimeamini KAMA UNADHANI ELIMU NI GHALI JARIBU UJINGA!!!!!, hawa madiwani sorry I Mean wabunge wa kata aaah samahani nilimaanisha majimbo ya Zanzibar ni majanga ya kitaifa???!!!!
 
Ukweli upo palepele tu kuwa Tundu Lisu ni BOOOOOOOONGEEEEEEEEEEEEE LA MFITINIIIIIIIIIIIIIIIIIIII asiye na AKILI hata kiduchu pamoja na kimasters chake cha sheria juu ya kuzuia kutupa taka ovyo.

.........................
Ni heri Dr.Slaa awe rais kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge.Alimaanisha nini aliyenena haya?
 
Mbunge wa CCM kutoka Magomeni, Zanzibar aliyemwita Tundu Lissu ni MFITINI na ASIYE NA AKILI TIMAMU.

Kwa jina anaitwa Muhammad Chomboh. Nawahurumia sana watoto wake na familia yake kwa ujumla, SHAME!!!.


faf95016-f906-4451-8588-918e689bc430.jpg


EDUCATION
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Jambiani Primary SchoolPrimary Education19601963PRIMARY
Kusini Primary SchoolPrimary Education19641967PRIMARY
Makunduchi Secondary SchoolSecondary Education19681969SECONDARY
Institute of Finance Management (Dar Es Salaam)Diploma19791981DIPLOMA

++>Mbunge wa Magomeni (CCM), Muhammad Amour Chomboh, alisema maneno yaliyotolewa na Lissu ni ya ufedhuli.
“Napenda kumfahamisha yeye (Lissu) pamoja na wengi walio humu ndani wenye mawazo mgando kama yeye na waliokuwapo nje ya jumba hili, Zanzibar sio koloni la Tanganyika na halitakuwa hata siku moja koloni la Tanganyika. Na mheshimiwa Lissu Agosti 8 mwaka huu, alizungumza huyu kuhusiana na mambo ya Muungano kuchangia katika hotuba ya Muungano akajaribu kuwataja viongozi, ambao ni victim (waathirika) wa Muungano, ambao ni muongo na mnafiki,” alisema.
Aliongeza: “Nataka kumwambia kuwa Wanzanzibari hawatakubaliana na mpuuzi yoyote na uozo wowote, ambao umezungumzwa hapa kwa minajili ya kutaka kutugombanisha,” alisema.
Alipotaka kuendelea, alikatishwa na Lissu aliyekuwa akiomba utaratibu.
Kwa mara nyingine, Lissu alisimama akitaka kutoa taarifa hata hivyo, lakini Spika wa Bunge, Anne Makinda, aliingilia kati na kuwataka wabunge wote kuwa wavumilivu na kisha kumruhusu Chomboh kuendelea kuchangia.
From: Home ++<

Shule yenyewe inatia huruma......... Sasa kila kitu wazi.
Ukiwa na Bunge lililojaa wanachama wa chama cha wauaji wa MABWEPANDE wakiongozwa na Bi Kiroboto tunategemea kila aina ya UCHAFU. TL= Mlima kilimanjaro; Chombo=kichuguu. Shame on MABWEPANDE bandits!!
 
Radhia Sweety,

Mimi sifikirii eti mtu akiwa na degree basi ana akili nyingi sana tuseme ukweli hivi mbona kuna vichwa vinakubalika humu jf lakini havina hata hoyo diploma? mfano gonga hapa Parliament of Tanzania

sasa iweje leo hii mtu akisema kitu mnakimbia hajasoma au hana elimu? hao wenye elimu si walizaliwa na wasio na elimu? je baada ya kupata hizo elimu zao hawakuwasikiliza wazee wao kwa kuwa hawana elimu? agrrrrrrrrrrrrrrr
Ukweli unabakia kuwa ukweli hata kama utapindishwa vipi. Elimu ni nyenzo ya kumfanya mtu aweze kuchambua hoja na mambo kwa umakini na busara zaidi ya yule asie na elimu. La si hivyo kwanini tunatakiwa tusome?
 
Mheshimiwa sana mama Makinda sijui huwa anafikirije. Ikiwa mbunge wa Chadema anatukanwa na wa CCM hakuna cha kuomba utaratibu wala muongozo - watu wanatakiwa watulie na kusikiliza. Ikiwa wa CCM ndio anasemewa mbovu na upinzani utamwona anavyokuwa mkali "tafadhali mheshimiwa so and so futa kauli yako". Yaani upendeleo nje nje kama mama wa kambo mwenye roho mbaya.
amevurugwa
 
Hivi ukiwa na elimu ya juu ndio unakuwa mtu makini..Anderson Cooper wa CNN ana degree kachukuwa Yale University halafu ni shoga.
 
Ukweli upo palepele tu kuwa Tundu Lisu ni bonge la mfitini asiye na akili hata kiduchu pamoja na kimasters chake cha sheria juu ya kuzuia kutupa taka hovyo.
Kwanini unatumia nguvu kubwa namna hii kueleza chuki zako binafsi dhidi ya watu wengine? kama hana akili aliwezaje kupata masters? wacha poroja za kipumbavu wala hazikujengei!
 
Wote vihiyo nyie, watu wenye akili hujadili masuala na wale wenye akili finyu hujadili hata baba na mama zao. Shame
 
... akaenda sekondari miaka miwili - form one na form two, na ku-qualify kusoma IFM??? Ina maana Wazanzibar walikuwa wanafanywa "special cases" katika ku-qualify nini?..............
Wapo humu, ngoja Mwiba aje hapa.
 
Back
Top Bottom