Tundu Lissu, Nchimbi wawapatanisha Mr Sugu na Ruge wa Clouds FM

Mwisho wa vinega...Mwisho wa wale Bongo fleva wa zamani.....Soggy etc.
 
Kwenye kupatanishwa huko namuona mpaka muheshimiwa Tundu Lisu naye alikuwepo? sio mchezo hiyo Biffu ilikua noma!
 
Da kama ni kweli sugu ndio atakua ameivuruga vinega kabisa kama vp sugu inabidi wakae na vinega wote wapatanishwe nao pia isiwe kwa sugu peke yake,pia nyimbo za vinega wote zipigwe clouds fm na show walipwe hela nzuri.
 
Sugu amejiangusha mwenyewe... jamaa wana media yeye hana, sasa yupi ni biggest gainer??​
na watatumia redio kumdhoofisha...

Da kama ni kweli sugu ndio atakua ameivuruga vinega kabisa kama vp sugu inabidi wakae na vinega wote wapatanishwe nao pia isiwe kwa sugu peke yake,pia nyimbo za vinega wote zipigwe clouds fm na show walipwe hela nzuri.

kama kamanda kakubali yaishe hao wengine watulie tu...
 
Who the heck are Sugu and Ruge for I have never heard about them before. Someone to explain to me what is so special of them to an extent of drawing such huge attention.
 
Natumai leo jioni Kibonde ataidunda ile ngoma ya anti virus ya kwanza kabisa ( i wanna kill right now) kwenye kipindi chake cha jahazi

"Kibonde anatukana watu redioni,hana akili kichwani au anavyosambaza ngoma makusudi mitaani"---Sugu

Unazungumzia track 5 hyo ndio kibonde haipige? Labda iwe edited iruke hewani.
 
[h=6]Mkurugenzi wa Clouds Media Rugemalila Mutahaba (kulia) akimsikiliza Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi wakati akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam kuhusiana na mikakati ya kufanya kazi kwa pamoja mara baada ya kumalizika kwa mgogoro baina yao uliotokana na sababu za kimuziki uliodumu kwa muda wa miaka miwili. Wapatanishi wa mgogoro huo ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Emmanuel Nchimbi na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lisu.[/h]Source - Sofia Kessy
Fungua redio yako.JPG
 
mi kwakweli bdo cjaamin hii kitu ishu n kwamba co kirahisi namana hiyo coz tuhuma zilikua nyingi mnoo
 
Sugu angeuza mziki wake wapi....ungepigwa wapi....ule wenye matusi...hii ndio njia pekee ambayo he was left with...wale kina vinega walikuwa wanapiga makelele hata wanao fanya kazi kwenye redio zingine zile nyimbo zilikuwa hazipigikigi hata kidogo....

What a u-turn na usaliti wa vinega walio choka kama wale...
 

Habari hii imekosa maelezo kama mapatano hayo yalifanyika wapi na wapatanishi walikuwa ni akina nani na yamefanyika lini. Kwa picha tuu kila mtu anaweza kutoa maelezo yake kulingana na anavyoiona picha.

Kama Mkimbizwambio unaweza kudadavua habari hii na kuitolea maelezo itakuwa vizuri sana. Nachelea kutoa pongezi kwa hatua hii maana sina uhakika kama ndicho kilichotokea.
 
Back
Top Bottom