Tundu Lissu, Mbowe, Baregu & Co. na foleni ya Chai Ikulu enzi hizo!

Mwangalie Tundu Lissu alivyojipinda kujaza sukari kwenye kikombe chake, hadi miwani inataka kumdondoka.
Hajui chai ya Ikulu ukijaza sukari ina madhara makubwa? Huyu Lissu hajifunzi kwa waliojaza sukari kwenye chai ya Ikulu yaliyo kuwa yanawapata?
 
Hajui chai ya Ikulu ukijaza sukari ina madhara makubwa? Huyu Lissu hajifunzi kwa waliojaza sukari kwenye chai ya Ikulu yaliyo kuwa yanawapata?
ImageUploadedByJamiiForums1455289922.389067.jpg
 
hahaha namwona mwenyekiti wangu 'macho kumchuzi, mkono kuubwabwa' yaan 'macho kwa jk, mkono kwenye chai ya ikulu'
 
Naona baada ya kulalamika kuwa hujatajwa kwenye WATEULE 46, wamekuita na kukupa mgao wako. Sasa, naona matunda ya huo mgawo. Endelea kujituma zaidi!
 
Kwani chai ilinunuliwa kwa hela ya Ikulu au ya waTanzania?????? Hata wewe ukienda utakunywa tu. Ila kufikiri kuwa ikulu ukienda furaha yako ni kuona watu wakinywa chai ni kutokuwa na mwono mpana kuliko kuona kama hii ni namna ya kuongea na kuweka mambo sawa ili nchi iende kwa amani. Naamini upinzani unasaidia na umesaidia hata kumfanya Magu awe rais maana isingekuwa list of shame...sidhani kama angepata hata kura nusu kwa jinsi mambo yalivyokuwa ya kujiamini katika mambo mabaya. Kuua upinzani hakutalisaidia taifa letu, ila kutaliletea viongozi wenye kiburi na mabwanyenye hatutaki tufike huko. Aingie mtu madarakani akikosea akosolewe akifanya vema tumpe sifa yake kama wengi wanavyofanya sasa kwa Magu
 
Ikulu ya JPM ipo kikazi zaidi, hakuna tena biashara ya umwinyi wa kunywa juice na chai. Wanakaribishwa wakurugenzi wa mashirika ya kimataifa na watu ambao kwenda kwao ndani ya jengo lile ni kwa ajili ya kuongea masuala ya kikazi tu. JPM haendekezi umbeya, wadau ambao huwa wanaingia Ikulu kikazi wanadai kuwa president ana kawaida ya kupiga mzigo mpaka usiku.
 
Dah kweli mkwere alikuwa hajali matumizi....chai ya watu wote hao si kumaliza sukari ya ikulu....kwa magu anaenda mmoja tu na anakunywa maji tu

Mkwere fundi hata simba anakunywa chai ya moto na anabeba mimba. Sio unaona watata walivyotulia wanachonga nje tu
 
Aisee! The rest is History Mr.Jakaya ana Mema yake mengi sana! Unatoa Mwaliko wa watu watatu Nyumbu wanakuja Behewa zima!!!
 
Back
Top Bottom