Tundu Lissu kuunguruma Singida

sina akili za ki ccm za kucheza na fikra za watu coz siko kutafuta umaarufu bali ni kupashana habari zenye ukweli na uhakika kwa walio mbali na eneo la tukio.

Mkuu, sasa nimeamini ulikuwa na uko makini.

Nisamehe kwa kutumia lugha ngumu na pengine kukufikiria vibaya kwa kukulinganisha na yule mtu, siku ya Christmass, aliyesema CUF walifanya mkutano siku hiyo, hivyo kujipambanua kuwa ni chama cha Kiislamu. Tulichangia, kumbe habari ni za uzushi.

Habari tumeipokea, ila ni too-short mkuu. Yaani kwa dondoo hizo ulizoweka najua kwa uzungumzaji wa Lissu kulikuwa na bonge la meseji.

Pamoja na yote nathamini mchango wako.
 
tupo pamoja mkuu, kusameheana ni sifa yetu waungana.
 
2015 tobo lissu hana lake lazima apigwe chini.hana lolote mropokaji tu
 
Mungu anisamehe; namuona TL kama vile mtu asiye na heshima, adabu na mlevi kupindukia; anapenda sifa za kijinga na simuamini hata kidogo..

pole sn mkuu!! Unatakiwa kuague na siyo kuotoa uzushi.Nina wasiwasi na kiwango chako cha kufikiri. Una ubongo uliovia.
 
Topical utakuwa ni Mzanzibari bila shaka, maana hawapendi kuambiwa ukweli....na kwa Lissu huwa ni ukweli tu na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom