Tundu Lissu kuunguruma Singida

Unyanga

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
402
83
mh. Tundu lissu dakika chache zijazo atakuwa akiunguruma kuwavunja vunja nguvu c.c.m katika viwanja vya stand ya zamani mjini sgd. Zaid nitakuwa nikiwa update.
Mh. Ameanza kwa kuwaeleza wananch wa sgd hasa jimbo la uchaguzi mjini kwa kuwauliza kama wameshawah kusomewa mapato na matumizi ya mkoa wao na mbunge dewji coz ni jukumu lake kufanya hivyo kwani kila mbunge hupewa makabrasha yanayohusu bajeti ktk mikoa yao. Wananch wa sgd wakajibu kwa pamoja kuwa hatuna mbunge na wala huwa haendi bungeni atagawiwa wapi hilo kabrasha.
Pili:amegusia pia uvunjwaji wa sheria ya utumish wa umma ya mwaka 1995 kulikofanywa na mkuu wa mkoa wa sgd bwana parseko kone kwa kujidai kushinda tenda ya uzoaji wa taka ktk manispaa ya sgd angali hana kifaa hata kimoja cha kuzolea taka. Matokeo yake manispaa imekuwa chafu na yeye kila mwezi akikomba sh. Mil.7 huku akiacha kuzoa taka. Hivyo anawaibia wananch wa mkoa wa sgd.
Tatu: amegusia pia suala la kampuni hewa ya richmond akijaribu kuonyesha kuwa ilikuwa ni mkakati na mpango wa kikwete kwa kiwango kikubwa kuliko anavyohusishwa kikwete.
Na sasa anazungumzia katiba mpya. Nitaendelea kuwajuza.
Ameanza kwenye katiba mpya kwa kuzungumzia sheria ya mabadiliko ya katiba, pia amerejea hoja yake aliyoitoa bungeni kuhusu madaraka ya kifalme aliyonayo rais tena akasema kuwa tatizo hili lipo tangu uhuru ktk utawala wa mwl nyerere na akasema kusema hivyo sio kumtukana baba wa taifa bali ni kusema ukweli. Kisha akaeleza jinsi ya mchakato wa kuipata tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya, bunge maalumu la katiba na kisha akazungumzia tume ya uchaguzi ambayo ndio itakayosimamia mchakato wa huo kwamba vyombo vyote hivyo havitaleta katiba mpya yenye lengo la kuwasaidia wananch wa chini. Na ndio maana chadema waliamua kutoka bungeni coz hawako tayari kuona wananch wakifanyiwa uhuni na c.c.m. Akamilizia kwa kutangaza vita kupitia maneno ya mwl nyerere aliyoyatoa trh 05/02/1967 wakati wa azimio la arusha ya kuwa tumenyanyaswa sana, tumenyonywa sana, tumegandamizwa sana...! Sasa tunahitaji mapinduzi na akawaomba wananch wa sgd kuwa tayari kwa mapindunzi. Akamaliza mkutano wake kwa kujibu maswali ya wananch
 
Vema kwa kujitolea kutujuza. Naomba utufanyie yafuatayo:
1. Unapo ripoti uwe neutral, yaani usichanganye vionjo au mitazamo yako.

2. Jitahidi kuripoti point kwa point, nikijua neno kwa neno huwezi, na tukio kwa tukio.

3. Usijibizane na wanajf wakati unaripoti haswa wakati wa hotuba ya Mh. Tundu mwana wa Lissu.

4. Michango yako na maoni yako njoo uweke mwishoni au baadaye mkiisha funga mkutano.
 
Nimemmis sanna kamanda Lissu, pale kiti cha kwanza mbele bungeni akiwa busy na makarabrasha kibao akifunuafunua. viva Lissu
 
Kumbe huyu mtu bado anaexist? Baada ya kutoka Ikulu sijamsikia tena!
 
Mods naomba mtusaidie jambo hili, ikithibitika huyu jamaa alikuwa anachezea akili za watu basi piga ban ya mwezi.
 
No, huenda hajakimbia ila matumizi ya teknolojia na vifaa vyake. Tumpe muda pls

asante kwa kunisaidia kujibu na sio vifaa tu hata hali ya hewa pia inachangia mtandao kusumbua.
 
Mods naomba mtusaidie jambo hili, ikithibitika huyu jamaa alikuwa anachezea akili za watu basi piga ban ya mwezi.

sina akili za ki ccm za kucheza na fikra za watu coz siko kutafuta umaarufu bali ni kupashana habari zenye ukweli na uhakika kwa walio mbali na eneo la tukio.
 
Nakuaminia, naamini palikuwa na umati wa kutosha, tujuze contents mkuu.
 
mh. Tundu lissu dakika chache zijazo atakuwa akiunguruma kuwavunja vunja nguvu c.c.m katika viwanja vya stand ya zamani mjini sgd. Zaid nitakuwa nikiwa update.
Mh. Ameanza kwa kuwaeleza wananch wa sgd hasa jimbo la uchaguzi mjini kwa kuwauliza kama wameshawah kusomewa mapato na matumizi ya mkoa wao na mbunge dewji coz ni jukumu lake kufanya hivyo kwani kila mbunge hupewa makabrasha yanayohusu bajeti ktk mikoa yao. Wananch wa sgd wakajibu kwa pamoja kuwa hatuna mbunge na wala huwa haendi bungeni atagawiwa wapi hilo kabrasha.
Pili:amegusia pia uvunjwaji wa sheria ya utumish wa umma ya mwaka 1995 kulikofanywa na mkuu wa mkoa wa sgd bwana parseko kone kwa kujidai kushinda tenda ya uzoaji wa taka ktk manispaa ya sgd angali hana kifaa hata kimoja cha kuzolea taka. Matokeo yake manispaa imekuwa chafu na yeye kila mwezi akikomba sh. Mil.7 huku akiacha kuzoa taka. Hivyo anawaibia wananch wa mkoa wa sgd.
Tatu: amegusia pia suala la kampuni hewa ya richmond akijaribu kuonyesha kuwa ilikuwa ni mkakati na mpango wa kikwete kwa kiwango kikubwa kuliko anavyohusishwa kikwete.
Na sasa anazungumzia katiba mpya. Nitaendelea kuwajuza.
Ameanza kwenye katiba mpya kwa kuzungumzia sheria ya mabadiliko ya katiba, pia amerejea hoja yake aliyoitoa bungeni kuhusu madaraka ya kifalme aliyonayo rais tena akasema kuwa tatizo hili lipo tangu uhuru ktk utawala wa mwl nyerere na akasema kusema hivyo sio kumtukana baba wa taifa bali ni kusema ukweli. Kisha akaeleza jinsi ya mchakato wa kuipata tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya, bunge maalumu la katiba na kisha akazungumzia tume ya uchaguzi ambayo ndio itakayosimamia mchakato wa huo kwamba vyombo vyote hivyo havitaleta katiba mpya yenye lengo la kuwasaidia wananch wa chini. Na ndio maana chadema waliamua kutoka bungeni coz hawako tayari kuona wananch wakifanyiwa uhuni na c.c.m. Akamilizia kwa kutangaza vita kupitia maneno ya mwl nyerere aliyoyatoa trh 05/02/1967 wakati wa azimio la arusha ya kuwa tumenyanyaswa sana, tumenyonywa sana, tumegandamizwa sana...! Sasa tunahitaji mapinduzi na akawaomba wananch wa sgd kuwa tayari kwa mapindunzi. Akamaliza mkutano wake kwa kujibu maswali ya wananch

vipi idadi ya watu.
 
Mungu anisamehe; namuona TL kama vile mtu asiye na heshima, adabu na mlevi kupindukia; anapenda sifa za kijinga na simuamini hata kidogo..
 
Back
Top Bottom