Hivi Tanzania tuna Rais na Waziri mkuu? mimi sijui labda mnieleze hapa
Lakini tutasema yote..ila kwa jinsi Lisu alivyouliza it was not right.. Approach ya Lisu ilikosa hekima na busara. Kamanda makini hawezi kuuliza kwa namna ile tena kwa hasira kitu ambacho naona ni ukosefu wa nidhamu..

PINDA NI WAKUONEA HURUMA TU! kAMA AMBAVYO ANA HURUMA KWA ALBINOS BANA!! Kuna wakati mpaka nasema afadhali manywele bana!! Khaaa...
Lakini tutasema yote..ila kwa jinsi Lisu alivyouliza it was not right.. Approach ya Lisu ilikosa hekima na busara. Kamanda makini hawezi kuuliza kwa namna ile tena kwa hasira kitu ambacho naona ni ukosefu wa nidhamu..
Statement ya Mh.Lisu ilikuwa hivi, '' if you have done at your very best and you have failed why don't you resign?'' Je kauli hii ni mbaya? Au kwa kuwa ni ya kiingereza. Na ukumbuke PM mwenyewe alitumia maneno mengi kwa kiingereza kujibu hoja hii. Nafikiri PM hakuwa na cha kujieleza akaona ili asionekane kushindwa akafanya kitu kinachoitwa kwenye mazungumzo ''gap fillers''. Lisu was very right.Lakini tutasema yote..ila kwa jinsi Lisu alivyouliza it was not right.. Approach ya Lisu ilikosa hekima na busara. Kamanda makini hawezi kuuliza kwa namna ile tena kwa hasira kitu ambacho naona ni ukosefu wa nidhamu..
Lissu: If you have done everything in your power and failed why dont you resign?'
Pinda: Mhe.Lisu lugha hiyo si nzuri sana.....mimi nakuheshimu sana umri umesogea unataka nikafie huko kijijini nini? kwa taarifa yako hata mpige mayowe sitoki wewe hujui spika yupo nyuma yangu mfano halisi si uliona vile visahihi vyenu na Zito viilishia wapi au nikuwekee uso wa mbuzi?
"mh. Lissu lugha hiyo sio nzuri sana.... Mimi nakuheshimu sana..." upm mtam jamani pinda ametoa kauli toka uvunguni mwa moyo wake.!!
Lakini tutasema yote..ila kwa jinsi Lisu alivyouliza it was not right.. Approach ya Lisu ilikosa hekima na busara. Kamanda makini hawezi kuuliza kwa namna ile tena kwa hasira kitu ambacho naona ni ukosefu wa nidhamu..
If you have done everything in your power and failed why don't you resign?
This is one of the best questions ever! Umefanya kila lililo ndani ya mamlaka/uwezo wako lakini umeshindwa kupata solution then what next? Hapa ndipo inapokuja ile dhana ya uwajibikaji ambayo inaonekana kuwa ngumu sana kwa watawala wetu. Uzuri hata PM mwenyewe awali alishakubali kushindwa kwenye hiyo issue.
Hili suali la Lissu likipata waandishi wazuri wakaliandikia paper ya uhakika ni milestone muhimu sana kwenye kuelekea ukombozi wa kweli wa taifa letu. Ni swali fupi lakini lenye mantiki na maana kubwa kuliko kawaida.