Tundu Lissu hapa ulionesha umakini

Eraldius

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
1,120
906
Ni katika vikao vya bunge lililoisha ambapo aliuliza swali kwa nishati na madini,kwanini Tanzania taifa dogo tusisitishe ndoto ya kutumi nishati ya nucrear wakati mataifa makubwa yanataka kuachana nayo.mfano Japani.Muongo alisema sio kweli.
Naleo Japani kuachana na Nucrear ni moja ya habari za Deutsche Welle.
BIG UP LISU.
 
Kamanda tunatambua jinsi unavyobezwa na wasiopeda sisi tufahamu kinachoendelea.
 
Huyo jamaa (Sospeter) ameishaingizwa kwenye siasa lazima credibility ishuke tu
 
Lissu mara nyingi hakurupuki, hivyo serikali inatakiwa kuwa makini kujibu hoja zake.!
 
chadema isipomsimamisha slaa basi please imsimamishe TUNDU LISSU. kWA kweli nchi hii itabadilika na amini msiamini CCM wengi wanaoipenda nchi hii wata cross over kuja kumuunga mkono kwa juhudi zake za country's first.
 
Kwa mapenzi ya Mungu, Singida jiandaeni kutoa Rais wa Tanganyika miaka michache ijayo.
Kama hawajamtundu, kwa sababu miaka mingi wanamtafuta sana. Ni kwa neema ya Mungu tu kwamba bado yupo hai leo, wamemtafutia matundu mengi kumlissu lakini wapi! Mungu akiwa upande wako kweli hakuna atakayekuwa kinyume nawe.
 
kama kiongozi mtendaji anafaa sana, that is WAZIRI MKUU ila tukiwa practical, SLAA na PINDA wanafaa kuwa marais

unamaana pinda awe rais wa zanzibar au?
Unamtafutia mtu ban wewe, PINDA!! Si anaweza kulia mbele ya joyce banda!!! Jitahidi kuwa 'siriazi' basi.
 
kama kiongozi mtendaji anafaa sana, that is WAZIRI MKUU ila tukiwa practical, SLAA na PINDA wanafaa kuwa marais

Pinda? Huyu huyu kiongo wa shughuli za serikali legelege? Wewe huitakii nchi yetu mema, si bora ungesema 6
 
Lissu ni mtu makini. Dk. Slaa wakati wakati anagombea urais mwaka 2010 aliwaambia wananchi wasiwe na wasiwasi wa yeye kuondoka bungeni kwasababu anawaachia mrithi wake ambaye ni Tundu Lissu.
 
Back
Top Bottom