Tundu Lissu: 'Bunge la Bajeti' is another silly season!

"Silly Season" That is true, why 85% of CCM MPs are supporting the foolish budget for 81%? Wanakubali,kuchangia wanakataa.Wapo kule kwa maslahi yao binafsi,Inahitaji moyo wa uzalendo zaidi kwa mpinzani kuwaeleza ukweli wananchi kuliko mwana ccm yeyote kuongea ukweli.Muimba kwaya wa TOT! Eti naunga mkono 100 kwa 100,kisha analeta malalamiko, mtufikilie na sisi watu wa Nyasa _Mbinga kwani wenzetu wa Malawi wanapatiwa msaada kwa wavuvi wao sisi serikali imetusahau.Shame to him Komba! Hongera Lissu! carry on, tell us white and black. Tupo pamoja! Achana na akina Mwigulu wanalazimisha siasa uchwara zishike nafasi.Tundu sema ukweli achana na unafiki wa magamba songa mbele
 
Mleta mada nashukuru kwa ulivyojitahidi,katika vitu najilaumu ni kukosa kumsikia lissu nilikuwa njiani narudi home ,nimefika tu ndio namkuta huyu kenge maji nchemba anatoka mapuvu,shame on you ccm!
 
Mwalimu Nyerere baba wa Taifa hili la Tanzania aliwahi kusema"Anaeipinga rushwa na kusema nnaichukia rushwa basi hata ukimuangalia usoni uone kile anachokisema je ni kweli?"Lissu amesema kwa uchungu na hata ukimuangalia usoni kweli alikuwa akikiwakilisha kile alichokuwa akikisema.Baadhi ya wabunge wa ccm walipokuwa wakisimama na kuchangia walikuwa wakiiunga bajeti,papo hapo wanaanza kuikosoa.Hivi unawezaje kuona kasoro ktk kitu ulichokiona/unachokiona kizuri,ni unafiki uleule wa Wabunge wa ccm wanauendeleza Kama mnakumbuka ktk zile saini za kutokuwa na imani na waziri mkuu.Hawa wabunge wa ccm waache tabia za kung'ata na kupuliza.
 
unajua huwa najiuliza ni kwanini kuna tofaut ya uchangiaji wa mijadala baina ya WABUNGE WA UPINZAN NA WA CHAMA TAWALA
 
Yan huyo mwigulu nchemba inaelekea ana utindio wa ubongo.

Nina mashaka sana na elimu ya Mwigulu. Na kama kweli alikuwa benki kuu hiyo haimaanishi yuko competitve bali lilikuwa garasa tu pale.
Ndio sababu uchumi wetu uko kama ulivyo. Shyt!
 
Mleta mada nashukuru kwa ulivyojitahidi,katika vitu najilaumu ni kukosa kumsikia lissu nilikuwa njiani narudi home ,nimefika tu ndio namkuta huyu kenge maji nchemba anatoka mapuvu,shame on you ccm!

kuna mtu hajamuelwa mleta mada na anasema anataka habar kamili
 
QUOTE=Nyakageni;4076421]Niwe mkweli nikienda mbinguni na kumkuta Mwigulu Nchemba nitaomba ruhusa ya kwenda motoni![/QUOTE]

ha ha ha haaaaaaa....u made my day man..ha ha ha
 
Nategemea Spika awahoji wabunge, wanaunga mkono 'silly budget' waseme ndiyo; wanaopinga 'silly budget' waseme siyo.
 
Sasa nimegundua CHADEMA ni wapiga kelele tu na ni watu waleta machafuko. Tundu Lisu hanautaalamu wowote.
Halafu report yao ya budget ni kelele tu wanaongea vitu ambovyo hawavijui. Hawana wataalamu wa uchumi na hawaijui tanzania.

Hawa CHADEMA watatupeleka pa baya tuwe makini. Nimesikiliza mijadara ya bungeni hawana hoja yoyote zaidi ya kupiga kelele.

Huu ni ujinga kabisa kuwa na wabunge wasio jenga hoja kama hawa watu.
Budget yao ni yamatumizi ya nyumbani. hawaijui Tanzania.

we annael acha kuongea pumba. kwanza kiswahili chenyewe hujui kalale.
 
kuna mtu hajamuelwa mleta mada na anasema anataka habar kamili

Ninayo audio nilimrekodi Mh.Lisu sema kwa sasa hivi nnatumia simu(Iphone) Tanesco kwa maeneo yetu washapita na umeme wao na sijui namna ya kuiweka humu watu wamsikie.
 
Miaka 50 hata baba yako hakuwepo.
Halafu unaongelea umasikini ambao unakukumba mwenyewe na si watu wote.
Si vizuri kulaumu dunia kwa mapungufu yako mwenyewe, kaza buti ujiondoe katika umasikini.

wahindi wa rites wamewashikisha ukuta, wamelamba mshiko wametimua. Ndio hao ccm iliwatetea kwa nguvu zao zote bungeni. Another silly session, 'cause the old session mwigulu has no ability to remember!!!!!!!
 
Sasa nimegundua CHADEMA ni wapiga kelele tu na ni watu waleta machafuko. Tundu Lisu hanautaalamu wowote.
Halafu report yao ya budget ni kelele tu wanaongea vitu ambovyo hawavijui. Hawana wataalamu wa uchumi na hawaijui tanzania.

Hawa CHADEMA watatupeleka pa baya tuwe makini. Nimesikiliza mijadara ya bungeni hawana hoja yoyote zaidi ya kupiga kelele.

Huu ni ujinga kabisa kuwa na wabunge wasio jenga hoja kama hawa watu.
Budget yao ni yamatumizi ya nyumbani. hawaijui Tanzania.
Ni aibu zaidi unapokuwa na wabunge wanaojiita wachumi wa first class lakini badala ya kujenga hoja za kuboresha bajeti wao wanaanza kuporomosha matusi kama ulivyo fanya wewe mpumbavu mwenzo hapa jamvini.
 
Ni kawaida ya wanaharakati, bila kupiga makelele huwezi kupata misaada toka nchi za nje! We unafikili sugu(form six failure), mbowe(form six failure) and others wanaweza kuleta mchango gani critically kitaalamu?

wenu wasomi wa nyota kina PROF. Maji marefu...
 
Back
Top Bottom