Tundu Lissu: 'Bunge la Bajeti' is another silly season!

komba eti anaangalia bunge la uganda ubc tv jee anaelewa kiingereza!tapeli fataki kwa lulu....hapo anakiri umaskini
 
hivi komba ana akili kweli? Malalamiko yoote eti sijui tuliwasapoti kaskazini halafu anaunga mkono bajeti mbovu mia kwa mia, hii inamaanisha anaunga mkono kukosa maendeleo
 
Komba kasema naunga bajeti mia kwa miaaaaaaaaaaaa, lkn mtukumbuke na sisi mbinga
 
komba eti anaangalia bunge la uganda ubc tv jee anaelewa kiingereza!tapeli fataki kwa lulu....hapo anakiri umaskini

Komba ameonesha chuki dhahiri dhidhi ya watu wa Kaskazini. Na mwenyekiti amemchekea tu badala ya kumkaripia na kumtaka arekebishe. Mauaji ya halaiki huanza hivi hivi kwa watu kupewa ruhusa ya kuanisha kundi fulani la jamii kuwa ni la watu wabaya.
 
Yan huyo mwigulu nchemba inaelekea ana utindio wa ubongo.
 
Mbunge wa CDM hata akijamba bungeni wapambe wao humu JF watamwagia sifa za kila aina.
 
Sasa nimegundua CHADEMA ni wapiga kelele tu na ni watu waleta machafuko. Tundu Lisu hanautaalamu wowote.
Halafu report yao ya budget ni kelele tu wanaongea vitu ambovyo hawavijui. Hawana wataalamu wa uchumi na hawaijui tanzania.

Hawa CHADEMA watatupeleka pa baya tuwe makini. Nimesikiliza mijadara ya bungeni hawana hoja yoyote zaidi ya kupiga kelele.

Huu ni ujinga kabisa kuwa na wabunge wasio jenga hoja kama hawa watu.
Budget yao ni yamatumizi ya nyumbani. hawaijui Tanzania.
 
Hawa ndiyo waataalam wenu Mwigulu,Lusinde,Komba,..endeleza list ya vilaza wenzako!Wananchi wameshagundua nani muongo kati ya CCM na CDM ungejaribu kuwaelimisha hao ambao mulikuwa mumewaweka misukule kwa miaka 50 sasa wamefunguka baadala ya kupoteza muda hapa JF ambavyo watu walishakata shauri long time.
 
We ulikua hujui kuwa wao wanasubiri bunge ili wakatafute sifa, na huoni hata wanachama wao ni akili hizo hizo kama wabunge wao.
 
Back
Top Bottom