Tundu Lissu atunukiwa Nishani ya Heshima Marekani

Hongera sana mkuu, you deserve it..... Mungu azidi kukuongoza, ni watanzania wengi tunafunguka macho kwa michango na changamoto unazozitoa katika hoja mbali mbali nchini kwetu.. mungu akubariki na asimamie kazi yako
 
Hii sasa motisha nzuri kumbe kazi nzuri yaonekana na wenye macho ya kuona vizuri....! Big up Mr. Lissu
 
Asante Mimibaba kwa kutuhabarisha. Pia pongezi zimwendee Mhe. Lissu na kumtakia afya njema na mfanikio zaidi katika kupigania Haki za Binadamu na kuhifadhi Mazingira. Vyuo vyetu hapa nyumbani navyo viache kutambua watu kwa misingi ya Itikadi bali iwe uwajibikaji hii ni changamoto
 
Hongera mwana halisi wa nchi yetu, fahari ya nchi yetu na mtetezi wa wanyonge na kamanda wa mapambanoya kumuokoa mtanzania dhidi ya ukoloni wa CCM na vibaraka wake.
 
Dr. Slaa siku moja akihutubia alisema, Nyerere aliijengea Tanzania heshima kubwa katika jamii ya kimataifa ambayo sasa imeshapote, na aliahidi kuirejesha kama angeingia ikulu, kaka Tundu Lisu umeonesha ni jinsi gani CHADEMA mlivyo na lengo moja la kurudisha heshima ya taifa letu pamoja na kutetea haki za wanyonge, BIG UP sana tu.
 
tundu-lissu.jpg

Nadhani sitakosea kuwashirikisha habari njema kidogo.jana tarehe 6 Mei 2011, Chuo Kikuu cha Bridgeport kilichopo mji wa Bridgeport, Jimbo la Connecticut nchini Marekani kimenitunuku nishani ya 'Mwenza wa Heshima wa Chuo cha Kimataifa cha Chuo Kikuu cha Bridgeport' (Honorary Fellow of the International College). Citation ya nishani hii inasomeka kwamba 'Mheshimiwa Tundu Antiphas Lissu cheo cha Mwenza wa Heshima wa Chuo cha Kimataifa kwa kutambua utumishi wake uliotukuka katika kuendeleza haki za binadamu,ujenzi wa demokrasia na ulinzi wa mazingira katika Tanzania na Afrika...' Kwa Kiingereza: 'In recognition of his inspired service for the furtherance of human rights, democratic institutions and the protection of the environment in Tanzania and in Africa..."

Tuzo hii imekabidhiwa kwangu na Mkuu wa Chuo cha Kimataifa Dr. Thomas J. Ward na Rais wa Chuo Kikuu cha Bridgeport Dr. Neil Albert Salonen. Kwa wale wote ambao wanaweza kuwa wanajiuliza kwa nini sijaonekana Mbeya na Nyanda za Juu Kusini,hii ndio sababu ya utoro wangu.Nitajiunga na makamanda wenzangu kuanzia wiki ijayo.

Wasalaam,
Tundu Lissu

My take: Hongera Mh. Lissu, juhudi zako zinatambulika kimataifa hata kabla hujawa mbunge. Hukuhitaji kujieleza ulikuwa wapi wakati wenzako wakiwa Mbeya, twajua mchango wako katika maendeleo ya Taifa hili.

Source: Tundu Lissu (0786-572-571)
 
Congratulations comrade. It is a great honour to you, your family, CHADEMA, our Parliament and the country. God bless you abundantly.
 
safi sana lissu........we kaza buti endela kutetea haki za raia
 
Nadhani sitakosea kuwashirikisha habari njema kidogo.jana tarehe 6 Mei 2011, Chuo Kikuu cha Bridgeport kilichopo mji wa Bridgeport, Jimbo la Connecticut nchini Marekani kimenitunuku nishani ya 'Mwenza wa Heshima wa Chuo cha Kimataifa cha Chuo Kikuu cha Bridgeport' (Honorary Fellow of the International College). Citation ya nishani hii inasomeka kwamba 'Mheshimiwa Tundu Antiphas Lissu cheo cha Mwenza wa Heshima wa Chuo cha Kimataifa kwa kutambua utumishi wake uliotukuka katika kuendeleza haki za binadamu,ujenzi wa demokrasia na ulinzi wa mazingira katika Tanzania na Afrika...' Kwa Kiingereza: 'In recognition of his inspired service for the furtherance of human rights, democratic institutions and the protection of the environment in Tanzania and in Africa..."

Tuzo hii imekabidhiwa kwangu na Mkuu wa Chuo cha Kimataifa Dr. Thomas J. Ward na Rais wa Chuo Kikuu cha Bridgeport Dr. Neil Albert Salonen. Kwa wale wote ambao wanaweza kuwa wanajiuliza kwa nini sijaonekana Mbeya na Nyanda za Juu Kusini,hii ndio sababu ya utoro wangu.Nitajiunga na makamanda wenzangu kuanzia wiki ijayo.

Wasalaam,
Tundu Lissu
 
nadhani sitakosea kuwashirikisha habari njema kidogo.jana tarehe 6 mei 2011, chuo kikuu cha bridgeport kilichopo mji wa bridgeport, jimbo la connecticut nchini marekani kimenitunuku nishani ya 'mwenza wa heshima wa chuo cha kimataifa cha chuo kikuu cha bridgeport' (honorary fellow of the international college). Citation ya nishani hii inasomeka kwamba 'mheshimiwa tundu antiphas lissu cheo cha mwenza wa heshima wa chuo cha kimataifa kwa kutambua utumishi wake uliotukuka katika kuendeleza haki za binadamu,ujenzi wa demokrasia na ulinzi wa mazingira katika tanzania na afrika...' kwa kiingereza: 'in recognition of his inspired service for the furtherance of human rights, democratic institutions and the protection of the environment in tanzania and in africa..."

tuzo hii imekabidhiwa kwangu na mkuu wa chuo cha kimataifa dr. Thomas j. Ward na rais wa chuo kikuu cha bridgeport dr. Neil albert salonen. Kwa wale wote ambao wanaweza kuwa wanajiuliza kwa nini sijaonekana mbeya na nyanda za juu kusini,hii ndio sababu ya utoro wangu.nitajiunga na makamanda wenzangu kuanzia wiki ijayo.

wasalaam,
tundu lissu

kudos l. A. T
 
- Well, Mheshmiwa it was great to meet you yesterday in Bridgeport, CT I mean Mungu Akubarikie sana, I mean Itikadi tofauti lakini nia yetu ni moja tu nayo ni TAIFA KWANZA, jana nimejifunza mengi sana toka kwako na hasa somo la what is opposition katika Society, UBARIKWIE SANA NDUGU YANGU!

William @ NYC, USA.
 
basi atakuwa JK alipigania kweli apewe yeye hii..wanamwambia wewe huelewi kitu bana...tutakupa nishani ya kusaidia dogo dogo centre miguni ya mchele na mbuzi wakati wa eid el hadhaa
 
Nadhani sitakosea kuwashirikisha habari njema kidogo.

Tarehe 6 Mei 2011, Chuo Kikuu cha Bridgeport

kilichopo mji wa Bridgeport, Jimbo la Connecticut nchini Marekani kimenitunuku nishani ya 'Mwenza wa Heshima wa Chuo cha Kimataifa cha Chuo Kikuu cha Bridgeport' (Honorary Fellow of the International College). Citation ya nishani hii inasomeka kwamba 'Mheshimiwa Tundu Antiphas Lissu cheo cha Mwenza wa Heshima wa Chuo cha Kimataifa kwa kutambua utumishi wake uliotukuka katika kuendeleza haki za binadamu,ujenzi wa demokrasia na ulinzi wa mazingira katika Tanzania na Afrika...' Kwa Kiingereza: 'In recognition of his inspired service for the furtherance of human rights, democratic institutions and the protection of the environment in Tanzania and in Africa..." Tuzo hii imekabidhiwa kwangu na Mkuu wa Chuo cha Kimataifa Dr. Thomas J. Ward na Rais wa Chuo Kikuu cha Bridgeport Dr. Neil Albert Salonen. Kwa wale wote ambao wanaweza kuwa wanajiuliza kwa nini sijaonekana Mbeya na Nyanda za Juu Kusini,hii ndio sababu ya utoro wangu.Nitajiunga na makamanda wenzangu kuanzia wiki ijayo.​

Source: Mjengwa Blog

Hongera sana Mh. Keep it up na jiunge na makamanda wezako kuendelea kupigania haki ya wanyonge.
 
Serikali ya CCM pamoja na uchakachuaji wake katika masuala ya haki za binadamu na sheria za nchi, sasa mataifa ya nje yameanza kuona na kuelewa hali halisi ilivyo na hivyo kuwapa moyo wale wanaojituma kutetea maslahi ya Taifa si la Tanzania tu bali Afrika pia.

Heshima aliyopata Tundu Lisu kutoka Chuo Cha Kimataifa Cha Marekani ni 100% best kuliko udaktari wa falsafa wanaovishwa viongozi hapa nchini kwa kuwapongeza uchakachuaji.

Ukweli hujitenga mbali na Uongo
 
Back
Top Bottom