Tundu Lissu ashtakiwa

Naomba muwe na HOJA makini. LISU ni mbunge, na Anawajibika kwa Watanzania wote "jimbo" lake likiwemo. SISI Wa-Tanzania tunaona anvyotekeleza AHADI zake kwetu, kwa kutuelimisha juu ya HAKI zetu za Kikatiba. Sidhani kama alichaguliwa ili awagawie mkate na Asali! Ametufumbua macho, TUNAONA, hatudangayiki na peremende zenu za Kifisadi. Tutaingia na sisi katika mapambano na kupata riziki zetu ambazo ni haki yetu Ndani ya nchi hii kwa Elimu anayotupa.
 
Back
Top Bottom