Tundu Lissu ashtakiwa

Ok nisamehe mkuu hivi jina lako ni lipi kati ya haya,maana uwa nakuchanganya sana na Hawa Ghasia.....

  1. Lusinde
  2. Hawa Ghasia
  3. Vicky Kamata
  4. Celine Kombani
  5. Stephen Wasira
  6. Nnape Nnauye......

Tatizo la hawa viongozi wa ccm wanatumia ID zisizo julikana ili wawezo kutuka. Ila walio wengi humu ni viti maalumu ndo assignment toka kwa Nape.
 
"Tundulisu ashtakiwa na wapigakura wa kata ya ikungi kwa aliyekuwa mlezi wa mkoa wa singida ambaye kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa pwani mh Mwatumu Mahiza.kisa tangu achaguliwe hajatimiza ahadi hata moja kazi yake kubeba mafail" Angel Akilimal mtangazaji wa redio ya magamba (uhuru)- status yake ya leo hiyo kenye fb page yake.

Naona magamba sasa wameamua kuwashambulia wabunge wa CDM ambapo ndani ya mwaka mmoja wameanza kuwanyooshea vidole wakati wao nadani ya miaka 50 ya uhuru wameifilisi nchi kwa ufisadi na utawala mbovu wenye kuwagawa watz kwa makundi ya aliyo nacho na asiye nacho.

kele za CCM tu
 
Kama hajatekeleza basi ana haki ya kusemwa na kukumbushwa... hiyo isiishie kwa tundu tu bali wabunge wote waliochaguliwa na hata wale wa viti maalum

NI LAZIMA WAKUMBUKE AHADI ZAO NA WAWE INNOVATIVE KUZITEKELEZA ESPECIALLY WALE WA UPNZANI KWANI HAWANA MSAADA WA SERIKALI NA HASA MA-DC

i am worried about a number of hem including Halima ambaye feedback ya wanajimbo haiko positive anymore
 
Nani ameweza kutekeleza aliyo ahidi? tupe jina kijana
Jakaya Kikwete, amejenga viwanja vya ndege vya kimataifa huko Bukoba na Kigoma, amewaletea watanzania wote maisha bora hivi sasa mimi ameniwezesha kupata ajila nzuli ya kuuza vocha za simu, amenunua bonge la meli ya kisasa kuliko mv bukoba imeanza kazi ziwa viktoria ameee..................
 
Ati!!! Mwantumu Mahiza ni mlezi wa mkoa wa Singida? How? Hapo sijaelewa mkuu,on the other side kama ni kupitia Radio uhuru sijastuka kabisa...nadhani ni moja ya kazi ya Radio uhuru...Natamani kama CDM tungekuwa na ka-Radio ketu kuwaambia ukweli watanzania....

Tundu lisu ni kiona mbali kama nyerere anafahamu hawezi kuwakomboa wapiga kura wake kama tanzania kwa ujumla haitakombolewa. Anafahamu nchi imeozeshwa na ccm ndo maana anapambana kuwasaidia watanzania wote. Wapiga kura wa lissu tulieni huyu mtu amejipa majukumu ya kuwasaidia watanzania wote
 
Je IKIWA HIVYO NATUMAINI NJIA IMEFUNGULIWA.?
Tuliaidiwa barabara za juu,meli kila mkoa,Treni ya umeme,sasa kazi ndo imeanza tuanze na JK AU
 
kijana acha ushabiki hata hujui mamlaka na kazi za mbunge.elewa mbunge si mw/kiti wa kamati ya maendeleo ya hiyo kata ambaye ndiye diwani wa kata.wananchi wangeanza na d1 kwanza kumshitaki.
 
"Tundulisu ashtakiwa na wapigakura wa kata ya ikungi kwa aliyekuwa mlezi wa mkoa wa singida ambaye kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa pwani mh Mwatumu Mahiza.kisa tangu achaguliwe hajatimiza ahadi hata moja kazi yake kubeba mafail" Angel Akilimal mtangazaji wa redio ya magamba (uhuru)- status yake ya leo hiyo kenye fb page yake.

Naona magamba sasa wameamua kuwashambulia wabunge wa CDM ambapo ndani ya mwaka mmoja wameanza kuwanyooshea vidole wakati wao nadani ya miaka 50 ya uhuru wameifilisi nchi kwa ufisadi na utawala mbovu wenye kuwagawa watz kwa makundi ya aliyo nacho na asiye nacho.[/Q
UOTE]
hapana jipya cdm vidume,,mtazidi kuchooooonga tu
 
Wote hata Mk we re hajatimiza ahadi zake tumshitaki kwa Diwani wa Magogoni, hiyo itakuwa sawa na waliomshitaki Lissu kwa Mahiza
 
kumshtaki Lissu kwa Mahiza ni sawa na kumshtaki Mk we re kwa Diwani, maana nae hajatimiza ahadi zake!!!!!
 
Hakuna mbunge anayeishi vijijini kama Lissu,hivi leo yuko Kijijini Singida,hizo ni propaganda za Mafisadi, ahadi alizotoa ni kuwatetea wananchi na hivi majuzi alionekana akiwasaidia wachimba madini wa Sambaru na sepuka,acheni kukurupuka kuunga hoja bila kufanya utafiti.
 
Ama kweli nyani anapokaribia kufa miti yote inateleza.......... Lissu ni Mwanaharakati ambaye kwa wale tunaomfahamu ameanza harakati za kutetea wanyonge tangu akiwa sekondari, Lissu kabla hata ya kuwa Mbunge alipiga Marufuku Wananchi wa Singida Kusini kuchangishwa michango isiyokuwa na tija kwa wana Singida kabla hata ya jimbo hilo kugawanya vipande viliwili kuwa Kusini Mashariki na Kusini Magharibi ili kumlinda Mbunge ambaye alikuwa hakubaliki Mohammed Missanga ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Singida Magharibi.

Amewatetea kwa kutumia ujuzi wake wa sheria watu kutokufungwa hovyo, ametetea wachimbaji wadogo wadogo wa Sepuka na Sambaru huko Mang'onyi kutokunyanyaswa na Polisi.

Tumeona misimamo yake akiwa bungeni hasa akitetea maslahi ya Wana-Singida na watanzania kwa ujumla, lamewatetea wana Tarime kutokana na maonezi ya wawekezaji wa madini, eo hii kama ilivyojidhihirisha kwenye gazeti la Tanzania Daima, mafisadi wamejipanga kufanya propaganda za kuwachafua Watetezi wa Wanyonge lakini watanzania tuko makini na siasa hizi chafu, na kwa taarifa tu, Lissu anakubalika Singida Nzima hata jimbo la MO DJ anaweza kuingiza team na kumng'oa.

Lissu ni Mbunge wa wana Singida wote, alifanya kampeni wana Singida tukamwelewa na ndio maana hata kauli zilizotolewa " Heri Slaa awe rais kuliko Lissu awe Mbunge" ziligonga mwamba ingawa mafisadi walimwaga mapene kama pipi ili kuhakikisha huyu mwanaume wa shoka hatii maguu mjengoni.
 
Back
Top Bottom