Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

Hivi hii kesi Mh. Lissu anaweza kushindwa!!!!??

Kesi ambayo ccm wamekuwa wakikimbia, mara wamesahau nakala gesti!!? Mara shahidi alikuwepo hasubuhi mchana haonekani!!!?

Ndipo utakaposhangaaa hapo.This is Tanzania bwana a.k.a Bongoland, Kisichowezekana duniani pote kinawezekana Tanzania.
 
Kati ya Tundu Lissu au John Mnyika lazima mmoja apoteze jimbo...pamoja na Makongoro Muhanga.

umemuweka makongoro kututeka saikolojia zetu,ili 2amini hukumu masalia mbovu,katika hao makongoro ndo atapoteza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom