Tundu Lissu anaivuruga CHADEMA, naomba achunguzwe

Kwenye miswaada kukosekana Chadema sio tatizo je kwenye posho walikuwapo?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kazi ya kichwa sio kufuga nywele......mwenzetu naona bichwa lako unafanya kazi ya kufugia nywele tu.........masaburi mkubwa wewe
 
Mh Tudu lissu

Amekuwa akitukosema mijadala yenye tija na Taifa kwa kuwatoa wabunge nje .

1. Mjadala wa katiba- Yeye ndie aliewatoa wabunge nje ccm wakapitisha mjadala wa katiba matokeo yake ni madudu ; Tume vijijini inapita Asubuhi kipindi watu wako mashamabani matokeo yake ,watu wanashidwa kutoa maoni; tulitegemea haya yangejadiliwa na wabunge ambao wanayajua mazingara halisi.
- Walitudanganya tungeandamana nchi nzima kupinga kamati ya maoni ya katiba lakini atujasikia mpk leo. wakati tume inaendelea ;
- Mzee mtei katoa hoja ya kulalamikia wajumbe ,kuwa wengi ni Dini moja lkn sijasikia mbunge ata mmoja anatetea hoja hiyo , badala yake inaonekana hoja aina mashiko

2. Bajeti ya ulinzi imepitishwa bila CDM - Badala ya kupeleka hoja za msingi mfano ; wakimbizi wanaotegemewa kusambazwa nchini na wanaotegemea kurudishwa kwao burundi , madhara wanayotuletea watu wa mipakani ;
Nilitegemea wangetoa hoja ya kudai fidia kutoka serikali zao kuhusu uharibifu wa mazingara na watu wanouliwa bila hatia .

Lakini Tidu lissu - aliandaa shutuma khs dkr ulimboka .ikakataliwa bajeti ya upinzani kusomwa.

3 . bajei ya wizara ya kilimo- imepitishwa bila CDM ;kuwepo bungeni-

Hii ni baada ya kutoka nje kutokana na Ajali ya meli
Wizara hii ina madudu mengi- Tulitegemewa wezi wa vocha za mbolea waliokamatwa wamefikishwa wapi;
Kauli mbiu ya kilimo kwanza inatija kwa taifa?
Tundu lissu - kwaondowa wabunge wa bara . ambao tunategemea 80% Kilimo , ndo wiazara mama'

Yapo mengi- asije akawa katumwa km MREMA ; Kwenye hoja za msingi anatuchanganya na vifungu vya sheria visivyo na tija kwetu.

Wakati wa Mh Slaa- Haya mambo hayakuwepo; labda abadilishwe cheo . apewe mtu wenye maonao na Taifa

Ujinga wa hoja zako umeniharibia siku.
 
Acha kunizidishia stress mburula wew

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Eeh kazi imeanza!!!.
Kumbuka hakuna mkamilifu wote wana mapungufu.
Cha msingi ni kuhishimiana na si kuvumiliana
.
 
Kwenye msafara wa...........!
Hivi ni kwamba majina yalipotoea sana had kufikia hatua ya kumpa jina mwanao tundu??

Ila nikirud kwenye mada hilo tundu hua haliwalazimishi wabunge kutoka bali hua kuna tamko kutoka juu,,sana sana kutoka kwa dj pamoja na mzee wa nyumba ndogo a.k.a baba josephine a.k.a mzee mwenye masilaha.

Choko choko na upepo wote huanzia kuvuma kutoka kwa hao jamaa,,wengne mule ndani hua ni fuata upepo tuh,mbona zito hua anagoma kutoka mara zingne?
 
Mh Tudu lissu

Amekuwa akitukosema mijadala yenye tija na Taifa kwa kuwatoa wabunge nje .

1. Mjadala wa katiba- Yeye ndie aliewatoa wabunge nje ccm wakapitisha mjadala wa katiba matokeo yake ni madudu ; Tume vijijini inapita Asubuhi kipindi watu wako mashamabani matokeo yake ,watu wanashidwa kutoa maoni; tulitegemea haya yangejadiliwa na wabunge ambao wanayajua mazingara halisi.
- Walitudanganya tungeandamana nchi nzima kupinga kamati ya maoni ya katiba lakini atujasikia mpk leo. wakati tume inaendelea ;
- Mzee mtei katoa hoja ya kulalamikia wajumbe ,kuwa wengi ni Dini moja lkn sijasikia mbunge ata mmoja anatetea hoja hiyo , badala yake inaonekana hoja aina mashiko

2. Bajeti ya ulinzi imepitishwa bila CDM - Badala ya kupeleka hoja za msingi mfano ; wakimbizi wanaotegemewa kusambazwa nchini na wanaotegemea kurudishwa kwao burundi , madhara wanayotuletea watu wa mipakani ;
Nilitegemea wangetoa hoja ya kudai fidia kutoka serikali zao kuhusu uharibifu wa mazingara na watu wanouliwa bila hatia .

Lakini Tidu lissu - aliandaa shutuma khs dkr ulimboka .ikakataliwa bajeti ya upinzani kusomwa.

3 . bajei ya wizara ya kilimo- imepitishwa bila CDM ;kuwepo bungeni-

Hii ni baada ya kutoka nje kutokana na Ajali ya meli
Wizara hii ina madudu mengi- Tulitegemewa wezi wa vocha za mbolea waliokamatwa wamefikishwa wapi;
Kauli mbiu ya kilimo kwanza inatija kwa taifa?
Tundu lissu - kwaondowa wabunge wa bara . ambao tunategemea 80% Kilimo , ndo wiazara mama'

Yapo mengi- asije akawa katumwa km MREMA ; Kwenye hoja za msingi anatuchanganya na vifungu vya sheria visivyo na tija kwetu.

Wakati wa Mh Slaa- Haya mambo hayakuwepo; labda abadilishwe cheo . apewe mtu wenye maonao na Taifa

Pole edit kwanza hayo makosa niliyo highlight then nitarudi kuchangia
 
huyo niliyehighlight ni mtu mmoja au wawili tofauti na ni akina nani kwenye siasa zetu za bunge??
 
Sijawahi kuona kilaza kama huyu, sijui mnamwelewaje!?
 
TL hawezi kueleweka kwa VILAZA kama CCMABWEPANDE na watumwa wake kama wewe!!
 
Kwenye msafara wa...........!
Hivi ni kwamba majina yalipotoea sana had kufikia hatua ya kumpa jina mwanao tundu??

Ila nikirud kwenye mada hilo tundu hua haliwalazimishi wabunge kutoka bali hua kuna tamko kutoka juu,,sana sana kutoka kwa dj pamoja na mzee wa nyumba ndogo a.k.a baba josephine a.k.a mzee mwenye masilaha.

Choko choko na upepo wote huanzia kuvuma kutoka kwa hao jamaa,,wengne mule ndani hua ni fuata upepo tuh,mbona zito hua anagoma kutoka mara zingne?
KILAZA mwingine huyu eti huwezi kumwelewa TL wewe umepitiliza ukilaza!
 
Hawa akina MULUGO wapo wengi sana,
haya ndio matatizo ya kuungana zimbabwe,pemba na unguja mwaka 11964 na kutengeneza nchi ya Tanzania.

.
 
Chama cha demokrasia na maendeleo chadema kimesema kuwa kauli iliyotolewa na mbunge wa sgd mashariki tundu lissu kuwa anakusudia kumshtaki rais bungeni ni yake binafsi na kwamba chama makini kama cdm hakiwezi kutoa msimamo huo mzito bila kufanya tafakuri makini.makam mwenyekiti wa chama said amour arfi ametoa kauli hiyo jana katika viwanja vya bunge mjini dodoma. Source nipashe ya leo
 
Niheli dr silaa awe rais kuliko lisu,aliyasema hayo alikua namaana gan?wanamuogopa sanaa na amezaliwa tz kwa makusud ya mungu hawamuz lisu mpaka mungu atakapo penda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom