Tundu Lissu anaivuruga CHADEMA, naomba achunguzwe

Mh Tudu lissu

Amekuwa akitukosema mijadala yenye tija na Taifa kwa kuwatoa wabunge nje .

1. Mjadala wa katiba- Yeye ndie aliewatoa wabunge nje ccm wakapitisha mjadala wa katiba matokeo yake ni madudu ; Tume vijijini inapita Asubuhi kipindi watu wako mashamabani matokeo yake ,watu wanashidwa kutoa maoni; tulitegemea haya yangejadiliwa na wabunge ambao wanayajua mazingara halisi.
- Walitudanganya tungeandamana nchi nzima kupinga kamati ya maoni ya katiba lakini atujasikia mpk leo. wakati tume inaendelea ;
- Mzee mtei katoa hoja ya kulalamikia wajumbe ,kuwa wengi ni Dini moja lkn sijasikia mbunge ata mmoja anatetea hoja hiyo , badala yake inaonekana hoja aina mashiko

2. Bajeti ya ulinzi imepitishwa bila CDM - Badala ya kupeleka hoja za msingi mfano ; wakimbizi wanaotegemewa kusambazwa nchini na wanaotegemea kurudishwa kwao burundi , madhara wanayotuletea watu wa mipakani ;
Nilitegemea wangetoa hoja ya kudai fidia kutoka serikali zao kuhusu uharibifu wa mazingara na watu wanouliwa bila hatia .

Lakini Tidu lissu - aliandaa shutuma khs dkr ulimboka .ikakataliwa bajeti ya upinzani kusomwa.

3 . bajei ya wizara ya kilimo- imepitishwa bila CDM ;kuwepo bungeni-

Hii ni baada ya kutoka nje kutokana na Ajali ya meli
Wizara hii ina madudu mengi- Tulitegemewa wezi wa vocha za mbolea waliokamatwa wamefikishwa wapi;
Kauli mbiu ya kilimo kwanza inatija kwa taifa?
Tundu lissu - kwaondowa wabunge wa bara . ambao t unategemea 80% Kilimo , ndo wiazara mama'

Yapo mengi- asije akawa katumwa km MREMA ; Kwenye hoja za msingi anatuchanganya na vifungu vya sheria visivyo na tija kwetu.

Wakati wa Mh Slaa- Haya mambo hayakuwepo; labda abadilishwe cheo . apewe mtu wenye maonao na Taifa
angalia RED ULIVYOBORONGA
hivi umesoma shule gani ya msingi??? njoo huku kwetu kuna madarasa ya UPE,
jikosoe wewe kwanza kwa kutojua kuandika kiswahili
 
Ulitaka kuandamana kwenda wapi na kwa nini unasubiri hadi Tundu Lissu ndo aseme? kama una mtoto wako anasoma sasa hivi mbonahuandamani unasubiri tundu ndo aje akuite muandamane eti? wewe kwenye hiyo chadema ni nani? kama tume inapita asubuhi mnasubiri tundu aje aeme ninyi mdomo hamna kila kitu chadema na tundu lissu, ee Mungu saidia ukombozi wa kifikra ndani ya hii nchi
 
mi nadhani wa kulaumiwa ni wabunge wa ccm,chadema wanakataa mambo mengi lakini ccm wanapitisha,mtoa hoja mimi naamini mh Tundu Lissu yuko sahihi anaongoza vizuri wenzake bungeni kama chief whip.Tuwape chadema ridhaa then ndo tuwalaumu
 
jana alipokua anachangia hotuba ya uchukuzi, lissu alimlaumu waziri mwakyembe kwa kutotoa kauli ya pole kutokana na ajali ya meli znz. alimtaka aombe radhi na aeleze kwa nini ktk hotuba yake hakutaja ajali hiyo.

alisimama mbunge wa ccm na kunukuu ukurasa ambao una maneno ya pole kutokana na meli ya znz. lissu alinywea na kuomba radhi. lissu licha ya kuwa mwanasheria ni mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani.

Cheo hicho kinahitaji mtu makini anaetumia ubongo kwa umakini mkubwa. Mifano ya kuteleza kwa Lissu bungeni ni mingi. takriban kila anaposimama lazima ateleze. nawashauri chadema kumteua mnadhimu mwengine la sivyo hadhi ya chadema itazidi kushuka bungeni kila uchao
 
ww hicho sio kipimo cha lisu,wangapi wanachemka bungeni tunawavumilia? Tukianza na mkuu wa kaya sijui ni mjomba wako? Anaongea OP Tangu tulipo mpa mdaraka hadi 2015 maana atakuwa hana mamlaka ya kutu hadithia pumba zake!subirini lisu atakapokuwa waziri ndipo mtaona cheche ,walarushwa wakubwa nyie!
 
Nakutakia kila la kheri ; katka bunge hili; tulia
 
Yaani hapa nimehangaika na microscope kutafuta point sijaona. Ww badala ya kusifu kazi inayofanywa na chief whip Bungeni unalalamika. je ulitaka watu wakae hapo ndani ili Spika amalize kusema waliosema NDIO wameshinda.
Katika mazingira ya kawaida kutoka nje ndio kuna impact kubwa au kubaki hapo ndani na kujenga hoja ambazo mwishowe wabunge wa ccm wanazipuuza?. Hata wakati wa kumhukumu YESU Mfalme alinawa mikono na kusema yeye haoni hatia kwa mtuhumiwa aliyeko mbele yake. Kwa taarifa yako ni kwamba watanzania tunafuatilia sn yanayotokea bungeni na sio kweli kila kinachopitishw ni sahihi. its better kutoka nje ili kujiondoa kwenye dhambi ya kupitisha jambo ambalo litakuja kuwahukumu baadaye. KEEP IT UP LISSU.
 
Mh Tudu lissu

Amekuwa akitukosema mijadala yenye tija na Taifa kwa kuwatoa wabunge nje .

1. Mjadala wa katiba- Yeye ndie aliewatoa wabunge nje ccm wakapitisha mjadala wa katiba matokeo yake ni madudu ; Tume vijijini inapita Asubuhi kipindi watu wako mashamabani matokeo yake ,watu wanashidwa kutoa maoni; tulitegemea haya yangejadiliwa na wabunge ambao wanayajua mazingara halisi.
- Walitudanganya tungeandamana nchi nzima kupinga kamati ya maoni ya katiba lakini atujasikia mpk leo. wakati tume inaendelea ;
- Mzee mtei katoa hoja ya kulalamikia wajumbe ,kuwa wengi ni Dini moja lkn sijasikia mbunge ata mmoja anatetea hoja hiyo , badala yake inaonekana hoja aina mashiko

2. Bajeti ya ulinzi imepitishwa bila CDM - Badala ya kupeleka hoja za msingi mfano ; wakimbizi wanaotegemewa kusambazwa nchini na wanaotegemea kurudishwa kwao burundi , madhara wanayotuletea watu wa mipakani ;
Nilitegemea wangetoa hoja ya kudai fidia kutoka serikali zao kuhusu uharibifu wa mazingara na watu wanouliwa bila hatia .

Lakini Tidu lissu - aliandaa shutuma khs dkr ulimboka .ikakataliwa bajeti ya upinzani kusomwa.

3 . bajei ya wizara ya kilimo- imepitishwa bila CDM ;kuwepo bungeni-

Hii ni baada ya kutoka nje kutokana na Ajali ya meli
Wizara hii ina madudu mengi- Tulitegemewa wezi wa vocha za mbolea waliokamatwa wamefikishwa wapi;
Kauli mbiu ya kilimo kwanza inatija kwa taifa?
Tundu lissu - kwaondowa wabunge wa bara . ambao tunategemea 80% Kilimo , ndo wiazara mama'

Yapo mengi- asije akawa katumwa km MREMA ; Kwenye hoja za msingi anatuchanganya na vifungu vya sheria visivyo na tija kwetu.

Wakati wa Mh Slaa- Haya mambo hayakuwepo; labda abadilishwe cheo . apewe mtu wenye maonao na Taifa

Pumb.u.vu zako,uje tena
 
We ni mwimbaji wa R & B nenda kaimbe huko kwenu nyimbo yenu ya " ccm yajenga nchi" pumbavu
 
Wapinzani/maadui zetu wanatanani sana kutuchagulia silaha za kuwapiga nazo...no way
 
mh tudu lissu

amekuwa akitukosema mijadala yenye tija na taifa kwa kuwatoa wabunge nje .

1. Mjadala wa katiba- yeye ndie aliewatoa wabunge nje ccm wakapitisha mjadala wa katiba matokeo yake ni madudu ; tume vijijini inapita asubuhi kipindi watu wako mashamabani matokeo yake ,watu wanashidwa kutoa maoni; tulitegemea haya yangejadiliwa na wabunge ambao wanayajua mazingara halisi.
- walitudanganya tungeandamana nchi nzima kupinga kamati ya maoni ya katiba lakini atujasikia mpk leo. Wakati tume inaendelea ;
- mzee mtei katoa hoja ya kulalamikia wajumbe ,kuwa wengi ni dini moja lkn sijasikia mbunge ata mmoja anatetea hoja hiyo , badala yake inaonekana hoja aina mashiko

2. Bajeti ya ulinzi imepitishwa bila cdm - badala ya kupeleka hoja za msingi mfano ; wakimbizi wanaotegemewa kusambazwa nchini na wanaotegemea kurudishwa kwao burundi , madhara wanayotuletea watu wa mipakani ;
nilitegemea wangetoa hoja ya kudai fidia kutoka serikali zao kuhusu uharibifu wa mazingara na watu wanouliwa bila hatia .

Lakini tidu lissu - aliandaa shutuma khs dkr ulimboka .ikakataliwa bajeti ya upinzani kusomwa.

3 . Bajei ya wizara ya kilimo- imepitishwa bila cdm ;kuwepo bungeni-

hii ni baada ya kutoka nje kutokana na ajali ya meli
wizara hii ina madudu mengi- tulitegemewa wezi wa vocha za mbolea waliokamatwa wamefikishwa wapi;
kauli mbiu ya kilimo kwanza inatija kwa taifa?
Tundu lissu - kwaondowa wabunge wa bara . Ambao tunategemea 80% kilimo , ndo wiazara mama'

yapo mengi- asije akawa katumwa km mrema ; kwenye hoja za msingi anatuchanganya na vifungu vya sheria visivyo na tija kwetu.

Wakati wa mh slaa- haya mambo hayakuwepo; labda abadilishwe cheo . Apewe mtu wenye maonao na taifa

hivi ni kwamba majina yalipotoea sana had kufikia hatua ya kumpa jina mwanao tundu??
Ila nikirud kwenye mada hilo tundu hua haliwalazimishi wabunge kutoka bali hua kuna tamko kutoka juu,,sana sana kutoka kwa dj pamoja na mzee wa nyumba ndogo a.k.a baba josephine a.k.a mzee mwenye masilaha,,choko choko na upepo wote huanzia kuvuma kutoka kwa hao jamaa,,wengne mule ndani hua ni fuata upepo tuh,mbona zito hua anagoma kutoka mara zingne??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom