kix
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 319
- 86
sio lazima ujibu.
Kwa lipi mh? jibu hoja
Mh Tudu lissu
Amekuwa akitukosema mijadala yenye tija na Taifa kwa kuwatoa wabunge nje .
1. Mjadala wa katiba- Yeye ndie aliewatoa wabunge nje ccm wakapitisha mjadala wa katiba matokeo yake ni madudu ; Tume vijijini inapita Asubuhi kipindi watu wako mashamabani matokeo yake ,watu wanashidwa kutoa maoni; tulitegemea haya yangejadiliwa na wabunge ambao wanayajua mazingara halisi.
- Walitudanganya tungeandamana nchi nzima kupinga kamati ya maoni ya katiba lakini atujasikia mpk leo. wakati tume inaendelea ;
- Mzee mtei katoa hoja ya kulalamikia wajumbe ,kuwa wengi ni Dini moja lkn sijasikia mbunge ata mmoja anatetea hoja hiyo , badala yake inaonekana hoja aina mashiko
2. Bajeti ya ulinzi imepitishwa bila CDM - Badala ya kupeleka hoja za msingi mfano ; wakimbizi wanaotegemewa kusambazwa nchini na wanaotegemea kurudishwa kwao burundi , madhara wanayotuletea watu wa mipakani ;
Nilitegemea wangetoa hoja ya kudai fidia kutoka serikali zao kuhusu uharibifu wa mazingara na watu wanouliwa bila hatia .
Lakini Tidu lissu - aliandaa shutuma khs dkr ulimboka .ikakataliwa bajeti ya upinzani kusomwa.
3 . bajei ya wizara ya kilimo- imepitishwa bila CDM ;kuwepo bungeni-
Hii ni baada ya kutoka nje kutokana na Ajali ya meli
Wizara hii ina madudu mengi- Tulitegemewa wezi wa vocha za mbolea waliokamatwa wamefikishwa wapi;
Kauli mbiu ya kilimo kwanza inatija kwa taifa?
Tundu lissu - kwaondowa wabunge wa bara . ambao tunategemea 80% Kilimo , ndo wiazara mama'
Yapo mengi- asije akawa katumwa km MREMA ; Kwenye hoja za msingi anatuchanganya na vifungu vya sheria visivyo na tija kwetu.
Wakati wa Mh Slaa- Haya mambo hayakuwepo; labda abadilishwe cheo . apewe mtu wenye maonao na Taifa
Ilipopitishwa sheria ya hifadhi ya jamii Lissu pia aliwatoa nje wabunge wa CDM? Watu wa CCM vilaza kweli kweliMh Tudu lissu

Tundu ana akili kuliko wengi hapa Tanzania when it comes to law issues, he is good by all standards!!!
Mwenye kuivuruga Chadema ni Zitto na Jack Zoka, tuwe macho na uhusiano huu.
Uhusiano kati ya Zitto na Jack Zoka ambao uliwekwa wazi na vyombo mbalimbali ni taarifa mbaya kwa wanasiasa na wananchi wanaoipenda taifa lao la Tanzania. Uhusiano huu wa Zitto na Jack Zoka ambaye ni mkurugenzi msaidizi wa TISS (usalama wa taifa) umeripitiwa kuwa na historia ndefu tangu wakati wa uchaguzi mkuu. Wakati Zitto anajitapa kuwa anatetea maslahi ya wananchi, mshirika wake wa chanda na pete Jack Zoka anatuhumiwa na wanasiasa na wanachi kufanya kazi ya kuwadhuru badala ya kulilinda taifa. Kama mshirika wa Zitto anadhuru wananchi ni wazi kuwa naye Zitto ana masalahi binafsi na mabaya kwa wananchi. Maana ukitaka kujua tabia ya mtu, uliza tabia ya rafiki yake. Ni jambo la kusikitisha Zitto kuwa na uhusiano na huyu mfanyakazi wa usalama wa taifa anayedhuru watu na wakati huohuo anajidai kuwa ni mpambanaji. Uhusiano wa Zitto na Jack Zoka ulishawekwa wazi kuwa walikuwa wanawasiliana kwa simu mara kwa mara wakati wa kipindi cha uchaguzi. Tuwe macho na urafiki wao na ambao si mwema hata kidogo kwa wanasiana na wananchi wenye uchungu na taifa letu.