makusanya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 552
- 122
Mh Tudu lissu
Amekuwa akitukosema mijadala yenye tija na Taifa kwa kuwatoa wabunge nje .
1. Mjadala wa katiba- Yeye ndie aliewatoa wabunge nje ccm wakapitisha mjadala wa katiba matokeo yake ni madudu ; Tume vijijini inapita Asubuhi kipindi watu wako mashamabani matokeo yake ,watu wanashidwa kutoa maoni; tulitegemea haya yangejadiliwa na wabunge ambao wanayajua mazingara halisi.
- Walitudanganya tungeandamana nchi nzima kupinga kamati ya maoni ya katiba lakini atujasikia mpk leo. wakati tume inaendelea ;
- Mzee mtei katoa hoja ya kulalamikia wajumbe ,kuwa wengi ni Dini moja lkn sijasikia mbunge ata mmoja anatetea hoja hiyo , badala yake inaonekana hoja aina mashiko
2. Bajeti ya ulinzi imepitishwa bila CDM - Badala ya kupeleka hoja za msingi mfano ; wakimbizi wanaotegemewa kusambazwa nchini na wanaotegemea kurudishwa kwao burundi , madhara wanayotuletea watu wa mipakani ;
Nilitegemea wangetoa hoja ya kudai fidia kutoka serikali zao kuhusu uharibifu wa mazingara na watu wanouliwa bila hatia .
Lakini Tidu lissu - aliandaa shutuma khs dkr ulimboka .ikakataliwa bajeti ya upinzani kusomwa.
3 . bajei ya wizara ya kilimo- imepitishwa bila CDM ;kuwepo bungeni-
Hii ni baada ya kutoka nje kutokana na Ajali ya meli
Wizara hii ina madudu mengi- Tulitegemewa wezi wa vocha za mbolea waliokamatwa wamefikishwa wapi;
Kauli mbiu ya kilimo kwanza inatija kwa taifa?
Tundu lissu - kwaondowa wabunge wa bara . ambao tunategemea 80% Kilimo , ndo wiazara mama'
Yapo mengi- asije akawa katumwa km MREMA ; Kwenye hoja za msingi anatuchanganya na vifungu vya sheria visivyo na tija kwetu.
Wakati wa Mh Slaa- Haya mambo hayakuwepo; labda abadilishwe cheo . apewe mtu wenye maonao na Taifa
Wewe!!9enda kavae nguo kwanza upake n mafuta,chana nywele ndiyo uje hapa kueleza vizuri na siyo kuleta matapishi yako hapa