Tunda wewe ndio Cleopatra wa Tanzania

brigedia mafia

JF-Expert Member
Jul 21, 2016
2,264
2,275
Tunda unazidi ku shine na uzuri wako unakuwa mara mbili zaidi ya jana kila kukicha

Ni ukweli usiopingika kuwa wewe ndiye Cleopatra tuliokuwa tunakusubiri kwa muda mrefu baada ya yule Cleopatra wa zamani kufariki

1474147169104.jpg

1474147181501.jpg

1474147195379.jpg
 
Tunda unazidi ku shine na uzuri wako unakuwa mara mbili zaidi ya jana kila kukicha

Ni ukweli usiopingika kuwa wewe ndiye Cleopatra tuliokuwa tunakusubiri kwa muda mrefu baada ya yule Cleopatra wa zamani kufariki

View attachment 402209

View attachment 402210

View attachment 402211
Labda Cleopatra wa ukoo wenu mkuu. Binti tumiguu ka fito na chura hoiii bin taaaban ndo unamvika uCleopatra? Are you serious? Huyu akiwa Cleopatra huyu binti hapa chini mwenye uso wa kitoto, mamiguu ya bia, chura asiyetulia na anayekuja kwa kasi sana hapa Bongo tumwiteje? Au hujui wasifu na maana ya Cleopatra? Aaaargh !!!
1474160150321.jpg
 
Back
Top Bottom