Tunda Man hakupata ajali, kwanini aliongopa?

Hao walioandaa hii habari wameshindwa vipi kuwatafuta wale waliokuwa kwenye lile Gari lingine nao waseme kilichotokea?

Hao Madensa wanaotajwa kuwepo kwenye msafara si wapo hapo hapo Dar?
 
Back
Top Bottom