tunda man anaimba au analia?

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
ukitoa track yake ya neila, nyingine zote ni hovyo...nyimbo kama starehe gharama anaendeleza kulialia, jamaa simuelewi!
 
we jamaa kwel umekurupuka.hujui kwenye muziki kuna kitu kinaitwa stail.sasa hiyo ndo stail yake ya kuimba au unataka amuige sent 50 ndo utamkubal.wabongo kwa madharau lo!
 
Mhm hata kama ni stail wasanii huwa wanabadilika ili kuwapa watu ladha tofauti miaka sasa stail ileile? Amefulia tu na yy na asipojitahidi ataisha muda c mrefu
 
Mhm hata kama ni stail wasanii huwa wanabadilika ili kuwapa watu ladha tofauti miaka sasa stail ileile? Amefulia tu na yy na asipojitahidi ataisha muda c mrefu

umeona eeh yaani jamaa habadiriki.
 
Tatizo la wabongo ukimkosoa tu utaambiwa unachuki binafsi,wakati unamsaidia yeye mwenyewe kwa manufaa yake.
 
mwe ndiko mlikofikia mnaliapia kiingilio kwenda kuona baba zima likilia........du afadhali nimejiuzulu hii fani!
 
Back
Top Bottom