Tunazidi kusonga mbele

Si tumezindua daraja juzi, au hamwoni? Kahela kenyewe kadogo. We fikiria wastaafu (Sumaye, Mkapa, Mwinyi,Lowasa, Msuya) woote

tunawalipa 80% ya waliopo sasa! Vile vigari vyetu vya VX G8 si mnaona vinavyokula ufuta kidogo? Sasa na vile viposho vidogo kwa

kweli hela haitoshi. Kasungura kadogo . . .

Nadhani katiba mpya tuwafute hawa wastaafu na kuweka viwango vya matumizi ie aina gani ya gari zitumiwe na serekali. Sisi tu masikini lakini hodari wa matanuzi yasiyo na tija !
 
Ndo maana siku zote nasema bila Yesu kurudi aje kututetea waTz hatutakomboleka kabisa
 
Back
Top Bottom