Tunazidi kusonga mbele

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
62,204
128,020
404898_255973061137016_100001729730344_701942_2118509948_n.jpg


Mount Meru Hospital
 
Itabidi wanawake waweke mgomo kwa wanaume kutokuzaa mpaka hali itakaptengemaa...
 
Itabidi wanawake waweke mgomo kwa wanaume kutokuzaa mpaka hali itakaptengemaa...

"Life comes once only: No retake/replay/rewind/once-more. One should enjoy it, be happy & keep happy others too.":A S-rose:<!-- google_ad_section_end -->
 
duuu Jk huyo, na hakuna juhudi zozote zaidi ya kujenge maofisi ya wizara tuu!
 
404898_255973061137016_100001729730344_701942_2118509948_n.jpg


Mount Meru Hospital

Hakika tunazidi kusonga mbele kwa umasikini! Sijui hii hali itakuja kwisha lini! Akina mama wanadhalilika sana, hapo mtu unaumwa uchungu au una katoto kachanga lakini huna hata sehemu ya kuugulia au kujipumzisha baada ya kujifungua!
 
Hii hapa ya Mt Meru ni cha mtoto,fika Muhimbili uone wagonjwa hadi kwenye baraza wakati mwingine hadi nje ya wodi. Angalau Mt Meru ni pasafi.
 
Jamaa alishasema kuwa ujauzito unasababishwa na kihere here. Sasa mnamdai vitanda kwani yeye ni sereala? Kama hmtaki kushare vitanda acheni vihere here.
 
Na hao waliojipanga kitandani waulize vizuri hilo godoro halikumbatiwi bure cash imehusika hapo. Nakumbuka kaka yangu alipo owa mke kutoka sigimbi na muda wa kujaaliwa ulipowadia tulimpeleka mount meru ilikuwa mapema asubuhi hivyo tulimkabidhi kwa nesi flani hivi pia nilimwachia shem sh 100000/= ili zimsaidie kwa mambo madogomadogo ikiwemo usafiri ikiwa atafanikisha kabla sijarudi kutoka ofisi nilikoenda kuweka mambo sawa. Niliporudi nilishangaa shem alivyokuwa akisifia huduma za hapo mm nikashukuru ila nilipomwuliza kiasi kilichobaki aliniambia Tunadaiwa 20000 ndio nikagundua kumbeeeee ndio maanaaaa
 
Si tumezindua daraja juzi, au hamwoni? Kahela kenyewe kadogo. We fikiria wastaafu (Sumaye, Mkapa, Mwinyi,Lowasa, Msuya) woote

tunawalipa 80% ya waliopo sasa! Vile vigari vyetu vya VX G8 si mnaona vinavyokula ufuta kidogo? Sasa na vile viposho vidogo kwa

kweli hela haitoshi. Kasungura kadogo . . .
 
Back
Top Bottom