Tunawazaje?

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,066
4,085
Namna yetu ya kuwaza na kufikiria inaweza kutujengea heshima au kutufanya tudharaulike kwe jamii yetu.
Hapa jamvini tujiulize kabla ya kupost au ku comment JE NIMEFIKIRIA KWA MAREFU NA MAPANA?
Kwa kufanya hivyo heshima na hadhi ya JF itakuwa juu daima.
 
Back
Top Bottom