Tunawashukuruni sana, lakini...

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
...mjitahidi kuchunguza na msimu kabla hamjatuletea machungwa kutoka Segera.
Sasa hivi machungwa yamemwagika mjini, mpaka sh.50 unapata tunda. Chondechonde wasafiri mnaokuja kwenye sendi ofu sijui vichen pati, nunueni matunda mengine, hata mapera sio mbaya!
 
Labda Na wao wananunua kwasababu ni rahisi. . .
Ila mbona huku kwetu bado fungu ni 1000 machungwa matano.
 
Inategemea na mahala ulipo mdada, Dar ishachafuka machungwa, ukiwa na jero home unapokelewa kifurushi.
 
...mjitahidi kuchunguza na msimu kabla hamjatuletea machungwa kutoka Segera.
Sasa hivi machungwa yamemwagika mjini, mpaka sh.50 unapata tunda. Chondechonde wasafiri mnaokuja kwenye sendi ofu sijui vichen pati, nunueni matunda mengine, hata mapera sio mbaya!
hhhaa jamani mi hoi kwa cheko leosobhuza
 
Mi hata siwapangii tunda la kuleta, ila machungwa no, hata sisi wenyewe tunamudu.

halafu hawajui machungwa ya kisasa hata huku yanaota? Tenaukiyamwagilia tu yanakubali.......watuletee matopetope, mapera, mastafeli......... Kaa vipi waje na kibaba cha unga
 
...mjitahidi kuchunguza na msimu kabla hamjatuletea machungwa kutoka Segera.
Sasa hivi machungwa yamemwagika mjini, mpaka sh.50 unapata tunda. Chondechonde wasafiri mnaokuja kwenye sendi ofu sijui vichen pati, nunueni matunda mengine, hata mapera sio mbaya!

mahabuba vp wamekuletea gunia nn,c untumie japo debe 1... BTW Pole,may b walifikiri umeandikiwa dozi ya malaria kwa tiba mbadala!
 
halafu hawajui machungwa ya kisasa hata huku yanaota? Tenaukiyamwagilia tu yanakubali.......watuletee matopetope, mapera, mastafeli......... Kaa vipi waje na kibaba cha unga

Machungwa ya kwenye chungu, LOL!
 
mahabuba vp wamekuletea gunia nn,c untumie japo debe 1... BTW Pole,may b walifikiri umeandikiwa dozi ya malaria kwa tiba mbadala!

Wameleta kwenye kale kamfuko tu, lakini mtaani yamejaa tele, mpaka kuwapokea nikaona uvivu bwana?
 
Back
Top Bottom