Tunawasaidiaje waliopigwa BAN?

Itabidi system iwe automated kuondoa mgogoro na mods...wao wawe wanagusa mara chache kwenye ishu kubwa....km server kuzima n.k otherwise yenyewe icheck maneno...iselect topics zenye kurudia na vitu kn hivyo
Hili wazo la kisayansi sana na lina mantiki ndani yake!!
 
Kungekua na mahakama ya JF ili wanaopigwa ban wapewe nafasi ya kujitetea!! kuna ID yangu moja imepigwa ban ya maisha nauhakika nimeonewa kungekua na mahakama haki ya nani ningeshinda kesi.
MAPROSOO.

Hata mimi naona kama ni muhimu sana kuwa na mahala mtu anakwenda kutetea hoja zake ni kwa nini aliandika alichoandika na kama inawezekana na Mod aliyempiga BAN ni lazima amweleze aliyepigwa BAN ni kanuni ipi ya JF amevunja!!
 
1. FaizaFoxy
2. Dr Riwa
3. mwita25
4. mzee wa mia Figganigga


Namba 2-4 ni marafiki zangu,
walikosa nini tena jamani, lol.
 
1. Figganigga
2.Mwakalinga
3.F. Fox
4.Mwita25
..................
Naomba Mods wapunguze hasira na tujenge utamaduni wa kusameheana .Wapunguziwe adhabu kulingana na makosa....
 
Back
Top Bottom