Tunawaombeni sana wabunge wa CCM mufuate style ya CHADEMA kuwapa elimu ya URAIA

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Sina maana mfuate style ya maandamano, la hasha ...nina maana mtafute approach nzuri ambayo objective yake itakuwa ni kuwajengea uwezo wa utambuzi wa haki na wajibu wao.
Tafadhali tusipuuze, na mimi nina amini ya kwamba mtanzania yeyote mwenye nia njema na watanzania atapambana kufa na kupona awatoe ndugu zake gizani.
 
Back
Top Bottom