Tunawakaribisha CCM kudandia ishu ya Katiba.

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GrEatThinkers,
Hivi sasa kila mtu anataka katiba mpya, hapo hapo unajiuliza huyu amekuwa kiongozi muda mrefu mbona sasa nae anashabikia??
  • Nimegundua kitu kimoja kuwa inawezekana kabisa kuwa Umma una Kiongozi wanaomtambua wao (bila shaka hayta ndani ya CCM) na vile vile kuna Kiongozi wa NEC na Dola lakini hakubaliki ndani ya CCM.
Tunawakaribisha sana wanaotuunga mkono kuondoa ukoloni ngozi nyeusi unaotoa fursa ya kulinda mafisadi
:rain:
Lets Tok!!
 
Back
Top Bottom