Tunawaacha ndugu zetu zaidi ya 100 katika meri inayozama bila uokozi na jeshi lipo?

majata

JF-Expert Member
Oct 7, 2010
431
179
jeshi la uokozi majini juzi walilala usingizi eti kisa giza wakati ndugu zetu wakiwa wanazama, bila matumaini yoyote.

Sioni kwanini tuendelee kuwapa mshahara wakati kila majanga ya kuzama kwa meri wamedhirisha hawana Tija.

Hivi giza ni sababu kweli ya kushindwa kuokoa watu? Zikowapi kodi zetu?
 
Amri jeshi wao mkuu si Shein lakini? Au ni wanajeshi wa kikwete walilala?
manake najua kuna majeshi mara mbili siku hizi.

Poleni mliofikwa na mkasa huu mnyazi mungu awape moyo wa subira wakati huu wa majonzi.

katika hali tete kama hii inayohusisha vifo vya watu serikali ya muungano haipaswi kukaa kimya eti zanzibar wana navy, kama niissue ya smz bona Leo mapumziko mpaka bar? Huu wanao fanya ni uhuni ulio pitiliza, navy gani haina vifaa vya marine? Watajifunza kuwa na vifaa mpaka wafe watu wangapi?
 
Sasa ndugu hujui kama jeshi letu ni la nadharia?

Jeshi letu linapokea tu mishahara na kula bata toka vita ya kagera iishe, siku viongozi wetu wakizama ndio vifaa vya kisasa vitapatikana
 
Back
Top Bottom