Rugemeleza
JF-Expert Member
- Oct 26, 2009
- 668
- 136
Nimetumia baruameme yenye picha hizi zinaonyesha tofauti kati ya uongozi-utumishi na uongozi-matanuzi. Natumai nanyi mwaweza kuzisambaza kuonyesha jinsi kiongozi muasisi wa nchi yetu alivyoongoza na huyu ambaye mwalimu alisema "kama ana sura nzuri nenda kanywe naye chai..hatuendi kuposa tunachagua raisi". Bahati mbaya tumefikia kuchagua mtu kwa uzuri wa sura na matanuzi yake.
HAPO NDIPO UTAJUA MCHAPAKAZI NA MSANII.
HAPO NDIPO UTAJUA MCHAPAKAZI NA MSANII.