Tunataka rais muuza mandazi

Jun 17, 2011
20
5
Nafasi ya Rais Joyce Banda wa Malawi inanifanya niwaze mengi ambayo niliyawaze mengi na pengi kuibia yale niyokiuwa nimeanza kuyasahau, Siku zote ninawaza kuwa Marais wetu w kitanzania ni watu waliotoka katika familianzuri hivyo ni vigumu kuwakumbuka wanyonge maanahawajui shida nini, wameishi maisha mazuri tangu utoto wao.

Tena mar nyingine nawaza kuwa tukipata mtoto wa ombaomba alisoma kayuma na akauza mandazi kama Rais Banda basi anaweza kutukumbuka sisi wauza mandazi wenzie kama vile Rais wetu hata wale waliopita wanavyoumbuka matajiri wenzao.

Nafkri mawazo yangu yatakuwa sawa pale nitakapoona Rais Banda amefanya vizuri katika uongozi wake kwa kuwakumbua wanyonge na kutojilimbikizia mali.
 
Back
Top Bottom