Tunataka kuuana kwa ajili ya kitovu cha mtoto

seriously,haya ni mageni kwangu kuhusu kitovu.sikujua kama mtu anaweza kufanyia ushirikina kuhusu kitovu

Kwa ninavyosikia sio kitovu tuu; nywele (za sehemu zote za mwili), kucha, foreskin, nk. Ushirikina unahusisha uchafu wote usioweza hata kuimagine katika hali ya ubibadamu wa kawaida!
 
Na wewe ni mshirikina, KWANINI SIKU ZOTE USIKITUPE CHOONI KWA SIRI KM HUNA NIA YA KUKIFANYIA USHIRIKINA?
 
Na wewe ni mshirikina, KWANINI SIKU ZOTE USIKITUPE CHOONI KWA SIRI KM HUNA NIA YA KUKIFANYIA USHIRIKINA?

Umesema vyema Angel na mimi ndo nashangaa tunajadili nin wakati huyu jamaa naye mshirikina, eti kafungia kitovu. Mbona hatupi au kukichoma?

Washirikina bwana wana mambo . . .
 
Mimi naona mleta mada hamumtendei haki. Ingekuwa wewe mama mkwe anakuomba kitovu cha mtoto...ungempa kwa kuwa wewe unamuamini Mungu?

Anakitaka cha nini????

Mimi namuamini Mungu lakini najua uchawi upo...hivyo nisinge mpa mtu kitovu cha mwanangu... simple. Akipata matatizio nianze tena kuhangaika kwa mapadre na wachungaji???

ok nyumba kubwa,nitumie uwingi sasa,yeye na wakwe zake kwa pamoja,wana matatizo-superstitious,period
 
Sidhani kama na yeye alikitaka kwa ajiri ya ushirikina...ila amesema wanakigombea kwa maana wao wanakitaka na yeye anawajibu kuwa naye anakitaka;

Kama mzazi ana haki ya kukigombania ili kiwe safe; kuliko kusema chukueni mi sina shida nacho. Kama nimemuelewa vizuri.

Sidhani kama kuna atakayependa kitovu cha mwanawe kichukuliwe na mtu mwingine for whatever reason; iwe unaamini uchawi au hauamini. Na kwa kuwa tumeshajua kitovu ni dili...nani ataacha kuwa makini nacho? Unajua wanakitumiaje?


ok nyumba kubwa,nitumie uwingi sasa,yeye na wakwe zake kwa pamoja,wana matatizo-superstitious,period
 
cha kufanya hapo,kwanza waite wote uwaambie hawapati hiyo kitu then wakileta mizengwe timua wote,ubaki wewe na mkeo tu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom