Tunatafuta wafanyakazi wa kuuza luku na kutoa huduma ya m-pesa.

kelvinkipeta

Senior Member
Feb 17, 2012
108
11
KAY DEE INVESTMENT INATAFUTA WAFANYA WA KUFANYA KAZI YA KUUZA LUKU NA KUTOA HUDUMA YA M-PESA
S
IFA ZA MWOMBAJI
1.MSICHANA ASIEZIDI UMRI WA MIAKA 25
2.AWE NA ELIMU YA KIDATO CHA NNE
3.AWE ANISHI MAENEO YA TEMEKE,KWA AZIZI ALLY,AU MTONGANI.
4.AWE NA BIDII YA KAZI

TUMA MAOMBI KUPITIA
kelvinvitus@ymail.com
au
kaydee investment
po box 44097 -0713109099
TEMEKE DSM.
 
jamani laki moja mbomna hela ndogo sana je chakula kwa watarajiwa wafanyakazi mtatoa?
Asanteni kwa kunijibu
 
Laki moja kwa mwezi

aisee! kwa mtu anaye deal na pesa, kumlipa laki moja kwa mwezi ni kuatarisha mtaji wako mkuu: weka kiwango kizuri cha mshahala kama ilivyohainishwa kwenye WAGE ORDER ya 2010 juu ya mishahala ya Sekta, ukifanya mambo yako yatakunyokea.
 
laki 1 kwa mwezi halafu chakula na nauli ni juu yako au anajitegemea?mbona mna utani na maisha ya watu jamani,TUTAFIKA?
 
Back
Top Bottom