Tunatafuta Mtaalam wa graphic na Kiwanda cha kufungasha vyakula

Vladimirr

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
546
565
amani iwe juu yenu nyote

jamani kwa yeyote ambaye ana fahamu kwa namna yeyote twaomba msaada wake

JIDA WORK GROUP

ni kikundi cha wajasiliamali wadogo wenye chachu ya kuleta mabadiliko katika biashara ya bytes katika jamii
katika kuboresha huduma zetu tumeamua kuzi parkage vizuri huduma zetu ili iwe tija kwa kujulikana na kununulika

HIVYO BASI KWA MTAALAM YEYOTE WA GRAPHICS AMBAYE ATAWEZA KUTUTENGENEZEA PICHA NZURI KATIKA MFUKO WA BYTES YETU

MJASILIAMARI YEYOTE ANAYE FAHAMU KIWANDA AU KAMPUNI YEYOTE INAYO TENGEZA MIFUKO YA KUFUNGIA CHAKULA EG,BISKUT,PIPI,

KWA YEYOTE ANAYEFAHAMU KUHUSIANA NA HILI TWAHITAJI MSAADA WAKE

ceo founder leonidace
 
Mkuu hiyo biashara ya bytes ndiyo biashara ya aina gani? Bora ungejitahidi tu kutumia maneno ya kiswahili ungeweza kueleweka vizuri zaidi. Kuna maneno mengine kama parkage na eg naona umeyakosea na hivyo kumwachia msomaji kazi ya kukisia ulichomaanisha.
 
Mkuu hiyo biashara ya bytes ndiyo biashara ya aina gani? Bora ungejitahidi tu kutumia maneno ya kiswahili ungeweza kueleweka vizuri zaidi. Kuna maneno mengine kama parkage na eg, sijui ulimaanisha nini.
b, kb, mb, gb, tb....... labda vitafunwa ambavyo tuliita vitafunio kabla ya kusahiishwa na andanenga.
 
Nenda kwa mtoto wa Bakhresa anaitwa omary ,ana kampuni inaitwa omary parkage ,ila Ada ya usajili Ni mil3 bado gharama za kazi zako.
 
Karibu nikufanyie design bora kwa bidhaa zenu mkuu ni pm mara utakapo iona comment hii...
 
mkuu NAOMBA IYO KAZI YA GRAPHICS DESIGN KWANI MIMI NI MZOEFU NI BIP 0654732975 - 0755288497 TUWASILIANE NIKUTUMIE SAMPLE WORK NILIZO FANYA KUPITIA E MAIL ALAFU TUFANYE KAZI............ ASANTE KIONGOZI

amani iwe juu yenu nyote

jamani kwa yeyote ambaye ana fahamu kwa namna yeyote twaomba msaada wake

JIDA WORK GROUP

ni kikundi cha wajasiliamali wadogo wenye chachu ya kuleta mabadiliko katika biashara ya bytes katika jamii
katika kuboresha huduma zetu tumeamua kuzi parkage vizuri huduma zetu ili iwe tija kwa kujulikana na kununulika

HIVYO BASI KWA MTAALAM YEYOTE WA GRAPHICS AMBAYE ATAWEZA KUTUTENGENEZEA PICHA NZURI KATIKA MFUKO WA BYTES YETU

MJASILIAMARI YEYO
amani iwe juu yenu nyote

jamani kwa yeyote ambaye ana fahamu kwa namna yeyote twaomba msaada wake

JIDA WORK GROUP

ni kikundi cha wajasiliamali wadogo wenye chachu ya kuleta mabadiliko katika biashara ya bytes katika jamii
katika kuboresha huduma zetu tumeamua kuzi parkage vizuri huduma zetu ili iwe tija kwa kujulikana na kununulika

HIVYO BASI KWA MTAALAM YEYOTE WA GRAPHICS AMBAYE ATAWEZA KUTUTENGENEZEA PICHA NZURI KATIKA MFUKO WA BYTES YETU

MJASILIAMARI YEYOTE ANAYE FAHAMU KIWANDA AU KAMPUNI YEYOTE INAYO TENGEZA MIFUKO YA KUFUNGIA CHAKULA EG,BISKUT,PIPI,

KWA YEYOTE ANAYEFAHAMU KUHUSIANA NA HILI TWAHITAJI MSAADA WAKE

ceo founder leonidace
mkuu naomba iyo kazi ya graphics niku fanyie kazi nzuri mpaka mwenyewe ufurahi kwa dizaining zote nicheki 0654732975 - 07550288497 nikutumie sample work nilizo fanya ASANTE
 
amani iwe juu yenu nyote

jamani kwa yeyote ambaye ana fahamu kwa namna yeyote twaomba msaada wake

JIDA WORK GROUP

ni kikundi cha wajasiliamali wadogo wenye chachu ya kuleta mabadiliko katika biashara ya bytes katika jamii
katika kuboresha huduma zetu tumeamua kuzi parkage vizuri huduma zetu ili iwe tija kwa kujulikana na kununulika

HIVYO BASI KWA MTAALAM YEYOTE WA GRAPHICS AMBAYE ATAWEZA KUTUTENGENEZEA PICHA NZURI KATIKA MFUKO WA BYTES YETU

MJASILIAMARI YEYOTE ANAYE FAHAMU KIWANDA AU KAMPUNI YEYOTE INAYO TENGEZA MIFUKO YA KUFUNGIA CHAKULA EG,BISKUT,PIPI,

KWA YEYOTE ANAYEFAHAMU KUHUSIANA NA HILI TWAHITAJI MSAADA WAKE

ceo founder leonidace

Njoo PM mkuu naamini hutojutia...........

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom