Tunatafuta Actor/Actress To Volunteer / Muigizaji wa Kike/Kiume wa kujitolea

Hii ni utapeli waigizaji kibao hapa ambao wala ukiwa kwenye industry huwezi kutoa hili tangazo. Kuna kitu hapa kimejificha
 
Uzuri ndo kuigiza? Mbafu basi chukueni ndugu zenu mkaigize nao, eti umri 22-27, looh Ili mkawabake nyooooooo
 
Busara na hekima huboresha uwezo wako wa kufikiri.
Jitahidi, ndugu....utafanikiwa.
 
Kazi zisizo na malipo yoyote hazipendezi kuambatana na vigezo viiingi...

Hatuhitaji watu wasio na maana kwenye kuigiza...wasio na ufahamu wa maana halisi ya sanaa na hata hawana uelewa wa Filamu ni nini....vigezo na masharti vinamjenga muigizaji tunayemhitaji, ndugu. Tunafahamu wenye kuipenda sanaa na kuifanya kweli hapa nchini ni wachache kati ya wengi wasio na uelewa, na wala kujitahidi kwenye maana halisi ya uigizaji.
 
Eti awe na mvuto wa pekee kwenye Camera!!! Mnakwenda kufanya yale yale ya Bongo Movie! Kwani mnakwenda kufanya film ya Miss Tanzania!!??

Unadhani mwenye mvuto pekee ni lazima awe Miss?
Angalia waigizaji woote unaowajua wewe maarufu duniani. Wana Mvuto au hawana? Namaanisha Mbele ya kamera, na si kwingineko.
 
Watu ambao tutakuja kuibadilisha hii Bongo Movie Industry bado tupo nje na soon tutaingia kuipeleka next level hii game, coz walio ndani Akili Yao imeishia hapo na wengine kama Hawa wanafanya the same mistakes!
Kweli mkuu na ndiyo maana kazi zilizonyingi za sanaa ya bongo movies ziko low quarity.
 
Watu ambao tutakuja kuibadilisha hii Bongo Movie Industry bado tupo nje na soon tutaingia kuipeleka next level hii game, coz walio ndani Akili Yao imeishia hapo na wengine kama Hawa wanafanya the same mistakes!
Mkuu nadhani muda ukifika tutachange everything, bongo movies tatizo kubwa hakuna directors, scripts writers, storyboard artists etc. But soon tunakuja
 
Sure mkuu! Ni kuchange kila kitu, haitakua na usuper star eti ucheze Main Character, hautatakiwa uwe mweupe au mwonekano mzuri uwe Main Character, nywele zako kuwa na Wave au Kiduku au sijui Handsome! Haitakua kigezo cha wewe kucheza Movie! la utatakiwa uwe na Kipaji halisi tu! Hakutakuwa na kufanya movie na kwenda kulia kwa Mamuu, Steps au Pilipili ili wanunue Movie, Movies zitakua kwa International quality kwa International markets! Watu wameshindwa kujifunza hata kwa White Masai ama Nairobi half life hapa jirani, hawana utitiri wa Movie kama Sisi, but zile chache zimechukua Tuzo za maana nje, watu hawataki kujifunza hata kwa Witch War! Movie ilofanyika DRC Congo, ikachukua Tuzo za Maana Ulaya! Mbaya tunataka kufika International kwa madudu tulofanya kwenye soko la nyumbani! Bila mabadiliko! Haitawezekani!!!
Nafurahi kama Kuna watu kama wewe mkuu, wanaotamani kuleta mabadiliko PIA!!
 
Unadhani mwenye mvuto pekee ni lazima awe Miss?
Angalia waigizaji woote unaowajua wewe maarufu duniani. Wana Mvuto au hawana? Namaanisha Mbele ya kamera, na si kwingineko.
Unalinganisha madudu ya kibongo na kazi za nje? Kama ungekua wewe ni director wa Prison break, nna uhakika T Bag asingepata nafasi ya kucheza ile Series, ungewekewa Lupita Nyongo hapa na Wema Sepetu, wewe ungemchagua Wema acheze badala ya Lupita, ungekua wewe ni Director wa Nairobi half life, yule dongo alocheza ile Movie angeishia kucheza Scene za getini, I'm artist&script writer also, nipo kwenye game kitambo mpaka nikaamua kukaa pembeni, kama mambo mloandika hapo juu "eti awe na mvuto" believe me mnakwenda kufanya the same madudu kama wenzenu, Wenzetu wanaangalia uwezo wa mtu kwanza, kama Kuna mwonekano zaidi unatakiwa na huyo Character Hana, hawamwachi hapo ndo Make up artist wanaingia kazini kuhakika character ya muhusika inakua kama Script inavyotaka, nyie mtataka waigizaji wote wawe kama Wema, Uwoya au Worper, Hemed, Ray na wengine kisa mvuto kwenye Camera ili iweje...... Miaka laki 9 nawaambia mtaishia hapa hapa!
 
Mkuu sawasawa!!!!miaka laki tisa ni michache sanaaaa!!!!bongo miaka bilioni ndo wataweza kutengeneza mfano wa movie zilizotamba mbele huko kama hollywood miaka ya 1950!!!!!!!hamna kitu bongo!!!!
 
Watu ambao tutakuja kuibadilisha hii Bongo Movie Industry bado tupo nje na soon tutaingia kuipeleka next level hii game, coz walio ndani Akili Yao imeishia hapo na wengine kama Hawa wanafanya the same mistakes!
Kabisa! Unavyoanza kuingia nikumbuke mkuu
 
Ulietoa thread unafikiri kuna laz zisizo na malipo this days au unadhani wote ni wauza sura humu...jus think beforee nyie ndo mnawatengenezea vijana ugumu wa maisha mtu anaoekama star afu financial yuko poor...anashndwa kufny ujasiliamarii kisa star....promote vzur kaz yako na watoe vijana kutoka sehem moja kwenda nyngne kimaendeleo sio kua wauza sura waishie kufa na maradhi
 
Back
Top Bottom