Tunatafuta Actor/Actress To Volunteer / Muigizaji wa Kike/Kiume wa kujitolea

Man Jau

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
461
677
Hi.
Tunatafuta Muigizaji wa Kike au wa kiume mwenye umri wa miaka 22-27 na awe anajua sana kuigiza.

SIFA ZA MWOMBAJI
awe anajua sana kuigiza
awe na elimu isiyopungua kidato cha Nne na kuendelea
awe anafahamu sanaa ya uigizaji vizuri na nia thabiti
awe anaweza kukimbia vizuri/ mwanamazoezi (Athlete)
awe na mvuto wa pekee mbele ya kamera
awe tayari kufanya kazi muda wowote na mahala popote atakapopangiwa\

NB Kazi hii HAINA MALIPO YOYOTE, ni ya kujitolea. kwa atakayependa, wasiliana nasi kwa namba hizo hapo chini, au tutumie PORTFOLIO yako kwenye email yetu ya focusmediagroup16@gmail.com
Tuma picha yako (Zako) HALISI kamili ikionesha MVUTO wako (PICHA ISIWE IMEEDITIWA)
Wenye Jinsia ya kike wanahamasishwa zaidi KuAPPLY.

Hi.
Tunatafuta Muigizaji wa Kike au wa kiume mwenye umri wa miaka 22-27 na awe anajua sana kuigiza.
Mwigizaji huyo ataweza kucheza filamu fupi na zitaweza kuonekana sehemu mbalimbali. Hakutokuwa na MALIPO yoyote.
NB: Kazi hii ni ya KUJITOLEA na haitokuwa na malipo yoyote, ingawa Producer/muandaaji wa filamu anaweza kugharamikia baadhi ya gharama za vifaa wakati woote wa Production.

ABOUT US
Our firm is new, a media firm which aimed at providing Talents a 'light' to the new world, we will issue a great promotion if available to make the actor/actress known all over the country towards Film Industries, and maybe your way on towards Success. we are now focusing on Making short films as a way of extending a life of professionalism towards Film Production
 
Attachments

  • SSSS.jpg
    SSSS.jpg
    51.4 KB · Views: 108
Hi.
Tunatafuta Muigizaji wa Kike au wa kiume mwenye umri wa miaka 22-27 na awe anajua sana kuigiza.

SIFA ZA MWOMBAJI
awe anajua sana kuigiza
awe na elimu isiyopungua kidato cha Nne na kuendelea
awe anafahamu sanaa ya uigizaji vizuri na nia thabiti
awe anaweza kukimbia vizuri/ mwanamazoezi (Athlete)
awe na mvuto wa pekee mbele ya kamera
awe tayari kufanya kazi muda wowote na mahala popote atakapopangiwa\

NB Kazi hii HAINA MALIPO YOYOTE, ni ya kujitolea. kwa atakayependa, wasiliana nasi kwa namba hizo hapo chini, au tutumie PORTFOLIO yako kwenye email yetu ya focusmediagrouptz@gmail.com
Tuma picha yako (Zako) HALISI kamili ikionesha MVUTO wako (PICHA ISIWE IMEEDITIWA)
Wenye Jinsia ya kike wanahamasishwa zaidi KuAPPLY.

Hi.
Tunatafuta Muigizaji wa Kike au wa kiume mwenye umri wa miaka 22-27 na awe anajua sana kuigiza.
Mwigizaji huyo ataweza kucheza filamu fupi na zitaweza kuonekana sehemu mbalimbali. Hakutokuwa na MALIPO yoyote.
NB: Kazi hii ni ya KUJITOLEA na haitokuwa na malipo yoyote, ingawa Producer/muandaaji wa filamu anaweza kugharamikia baadhi ya gharama za vifaa wakati woote wa Production.

ABOUT US
Our firm is new, a media firm which aimed at providing Talents a 'light' to the new world, we will issue a great promotion if available to make the actor/actress known all over the country towards Film Industries, and maybe your way on towards Success. we are now focusing on Making short films as a way of extending a life of professionalism towards Film Production
Eti awe na mvuto wa pekee kwenye Camera!!! Mnakwenda kufanya yale yale ya Bongo Movie! Kwani mnakwenda kufanya film ya Miss Tanzania!!??
 
Hata siku moja sitokuja kufanya kazi ya kujitolea bila malipo......yani nijitolee wakati wengine wananufaika hapana kwakweli
Eti awe na mvuto wa pekee kwenye Camera!!! Mnakwenda kufanya yale yale ya Bongo Movie! Kwani mnakwenda kufanya film ya Miss Tanzania!!??
 
Mimi nina sifa zote hapo juu lakini nimefikisha 60yrs of age. Ninaomba uyafikirie maombi yangu.
 
Mtu mwenyewe mnamtaka bila kumlipa, halafu masharti kibaaaao. Na hii maana yake nini? awe anajua sana kuigiza
 
Kuna ripoti ya utafiti siku kadhaa zilizopita ilionyesha kuwa asilimia 71% ya watanzania wanajishughulisha na shughuli zisizo na tija, nimeziona jitihada za ndugu WATANGAZA KAZI kuipandisha ile asilimia kufikia angalau 90%.
 
Back
Top Bottom