Tunasubiri maafa yatokee UDSM?

Duh, tuna taaabu first year! <img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/frown.gif" border="0" alt="" title="Frown" smilieid="256" class="inlineimg" />
kazi mnayo, tena muda mwingine huwa yanayumba yale madude. Nawashauri mkifika mgome kukaa humo, ni bora muende mitaani
 
aaaaaaah tunasubiri maafa halafu serikali itangaze siku tatu maombolezo kisha tutaita janga la taifa kisha tutaangalia event gani ilikuwepo tunasusia misaada yake
 
Baada ya maafa, Sitashangaa kusikia mkuu wa kitengo hajulikani ni nani!
 
Nimeamini ww kweli domokaya haswa

ikitokea hiyo itakuwa poa sana, maana wasanii watatunga nyimbo nyingi na picha zake zitapendeza sana si unajua hall 2 na hall 5 na kama twin towers za sept 11, tunalisubiri hilo kwa hamu watanzania tuwe kwenye ramani ya dunia tena. Hebu imagine vichwa vya habari katika vyombo vya nje. Dar university disaster, hostels collapse in dar, dar urges for intl aids, dar mourns intellectuals na hapa bongo daily news nalo hill twin towers kill thousands, the african nalo dar varsity in sorrows na lile jingine litasema bodi ya mikopo yapunguziwa mzigo. Wow! Kwa kweli
inavutia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom