CCM wanafanya mchezo mchafu. Hao wamemaliza kipindi cha kuiba na sasa nawengine nao waibe ili kila mtu wa chama afaidike wakati watu wanakufa!!!!!!Au watasubir 2015 wapewe wizara?
Au watasubir 2015 wapewe wizara?
ni kweli mkuu kwani hatua hii ilitakiwa dhahrii kuchukuliwa mapema na si kusubiri shinikizo..bravo opposition mps na wake wa ccm waliothubutu japo kwa miaka hii mitatu wamejiweka pabaya but pazuri for the restMkuu hii unayoita ya PILI ndio ya kwanza ... Hiyo uliyoita ya kwanza wala haipaswi kupewe namba .. japo iitwe usanii wa kawaida na wasiku zote!!
ILI Pressure ya pale bungeni na Hasira za kutaka uadilifu hazibadilishwi kwa kuchagua hilo kundi la watu waliotajwa hapo ... MUAFAKA wa kukonga nyoyo ..... Walofanya Makosa WAFUNGWE!!
Au watasubir 2015 wapewe wizara?
Ok..wamewekwa kando na mafurushi ya tuhuma.PCCB NA DPP tunasubiri mafile kama sita hivi kumalizia alichokianza mkuu wa nchi...vinginevyo hata hao wanaoingia hawataogopa kukomba mboga