Tunashukuru TBC 1

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,045
Wananchi watanzania tumezoea kuhabarishwa kupitia hiki chombo cha UMMA hasa taarifa ya habari kila saa mbili jioni. Leo vipi mnatuonesha mafisadi na wezi wanavyo kula matunda ya uhuru wa nchi yetu.Astagaflah kwahiyo mmeona kufanya hivyo MODS NAJUA NAWEZA PEWA BAN KWA HILI NITAKALOSEMA Serikali na viongozi wake ni wapumbavu,wajinga,manyani,******* tena saanaa am ready for any thing.
 
tbc ni wanafiki wakubwa
 
TBC wapo Ikulu kwenye chakula cha usiku na mtoto wa mfalme. Nimemwona Luhanjo anatoa meno tu pale. Wanajifanya hawajui kinachoendelea Arusha. Ila inaonekana JK hajafika na pengine yuko biz na akkina AGP .
 
Hao Alshabab kwanini wasinde hapo wakale pamoja hizo sambusa?na viazi?maana yanakera haya majitu.yawezekana hali ya Arusha wanaijadlili na ndo maana hajafika,sijui,ila natamani Al shabab wangetembelea hapo,sina soft word ya kuweza kuuelezea nilivyokerwa na mambo ya nchi hii.
 
Wanajamvi mnapoweka Uzi humu kuhusu habari mlizoona ktk TV au kusikia ktk Redio jaribuni kuweka/kuandika Habari yenyewe inahusu nini kwa kirefu na undani ili wale ambao hatuna idea nasi mtuhabarishe.
Kuna watu humu tunaandika tukiwa nje ya TZ, wapo ambao hawaangalii TBC kabisa,
 
Kwa ufupi ni kwamba Prince Charles na mkewe wako hapa tz kwa ziara ya siku mbili, sasa JK amewaandalia chakula cha jioni pale ikulu. Wanacholalamikia hapa wanaJF ni kile kitendo cha TV ya taifa kukatisha vipindi(ikiwemo taarifa ya habari ya saa mbili usiku) na kuonesha kinachoendelea pale ukumbini.

Mimi pia hiki kitendo kimenihuzunisha sana, kwa mantiki kwamba hakuna habari/tukio lolote la maana lililokuwa linaendelea pale ukumbini.
Mi nadhani ilitosha tu sisi kujua kwamba amekuja nchini na mh. jk amemwandalia chakula cha jioni kupitia taarifa mbalimbali za habari; na sio kutupotezea muda wetu kuangalia tukio zima.

This is sometimes funny, mchana msafara wake umefunga barabara, usiku amefunga vipindi kwenye TV. Kilichokuwa kinatia kichefuchefu zaidi, ni jinsi vigogo walivyokuwa wanaonekana wakitumbua mapochopocho pale ukumbini huku wavuja jasho wengi wakiwa hawana hakika ya kupata hata huo mlo mmoja wa usiku huu.
 
Nahisi kuangua kilio kadamnasi... Bora nisaini auti mapemaa. Inauma sana hapa tulipofika nchi hii. Dah!
 
Lakini pia sitaki kuamini wahariiri pale TBC hawajui ku prioritize habari. Sikatai tukio hili ni habari, ila kama ni kutoa airtime ya habari ambayo walipa kodi wa TZ walikuwa na interest nayo, basi tukio la Arusha lilitakiwa kupata airtime ya kutosha. Hili ni tukio ambalo kwa hakika linavuta hisia za watz wote, kiasi kwamba huu muda wote tuliopoteza kwa kuwaangalia hawa waliokuwa wanakula, badala yake tungekuwa tunaona matukio yanayoendelea Arusha live, bila kuchakachuliwa.

Maana TBC nao kwa kuchakachua tu, hawajambo. Wanachakachua hadi 'the comed'!
 
Kwa ufupi ni kwamba Prince Charles na mkewe wako hapa tz kwa ziara ya siku mbili, sasa JK amewaandalia chakula cha jioni pale ikulu. Wanacholalamikia hapa wanaJF ni kile kitendo cha TV ya taifa kukatisha vipindi(ikiwemo taarifa ya habari ya saa mbili usiku) na kuonesha kinachoendelea pale ukumbini.

Mimi pia hiki kitendo kimenihuzunisha sana, kwa mantiki kwamba hakuna habari/tukio lolote la maana lililokuwa linaendelea pale ukumbini.
Mi nadhani ilitosha tu sisi kujua kwamba amekuja nchini na mh. jk amemwandalia chakula cha jioni kupitia taarifa mbalimbali za habari; na sio kutupotezea muda wetu kuangalia tukio zima.

This is sometimes funny, mchana msafara wake umefunga barabara, usiku amefunga vipindi kwenye TV. Kilichokuwa kinatia kichefuchefu zaidi, ni jinsi vigogo walivyokuwa wanaonekana wakitumbua mapochopocho pale ukumbini huku wavuja jasho wengi wakiwa hawana hakika ya kupata hata huo mlo mmoja wa usiku huu.

Ile ilikuwa ni dhifa ya "Kitaifa" ulitaka isitangazwe na TV ya Taifa? Unanchekesha, hizo taarifa za habari zinakwisha? lakini ni mara ngapi unapata wageni kama yule hapa?
 
JK hajaalikwa dhifa ya kitaifa? Aliwahi kuwa live kwenye nchi ipi? Au yeye ni inferior prezdaa?
 
Naona imekuwa shida kunielewa, kwani isingetosha kuonyeshwa katika taarifa ya habari?
Kwa hiyo kupata airtime ya kutosha ndio kutamfanya awe anakuja mara nyingi mama?
 
JK hajaalikwa dhifa ya kitaifa? Aliwahi kuwa live kwenye nchi ipi? Au yeye ni inferior prezdaa?

Nchi nyingi kisha kuwa live, wewe unatazama TBC utamuona wapi? huwa wanaleta recorded hapa au hujaziona?
 
Back
Top Bottom