tunasemaje kwa kiingereza

mhalisi

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
1,181
320
mfano umeweka simu yako kwenye mfuko wa suruali, lakini wakati unatembea kwa bahati mbaya simu ikapiga namba ya mtu (ikajipiga yenyewe) bila ya wewe kufahamu! tunasemaje kwa kiingereza kitendo cha simu 'kujipiga yenyewe' bila dhamira yako?
 
Wala huna haja ya kusema kwa kiingereza kama simu imejipiga yenyewe ili akuelewe huyo mtu. Unachopaswa kufanya ni kuikata tu ili salio lisiendelee kuisha.
 
Assume unafanya kazi na mtu ambaye kiswahili hakipandi then hilo tukio likatokea na unataka kumfahamisha nini kimejiri....
 
utamwambia tu 'am sore, am gladi'
mfano umeweka simu yako kwenye mfuko wa suruali, lakini wakati unatembea kwa bahati mbaya simu ikapiga namba ya mtu (ikajipiga yenyewe) bila ya wewe kufahamu! tunasemaje kwa kiingereza kitendo cha simu 'kujipiga yenyewe' bila dhamira yako?
 
Unasema the phone has:
accidentally dialled au pocket dialled au kwa lugha ya kihuni(slang) butt dialed.
 
-The phone has dialed an intended call.

-The phone has wrongly dialed itself.

-The phone has loosely dialed itself.
 
Back
Top Bottom