Tunarudisha Passport yetu ya Serekali ya watu wa Zanzibar

Na Wa zanzibar wote wanaofanya kazi bara (uhamiaji wako lukuki, polisi nk warudi wakalitumikie taifa lao teule.

TANZANIA itabaki kuwa TANZANIA, na ZANZIBAR itabaki kuwa ZANZIBAR. Tutaungana na WAKOMORO kwani wao wanaulilia muungano tulio nao...we Muulize Jakaya akusimulie hadithi za Ahmed Sambi (Rais wa Comoro) alisema kama ni kuungana na Tanzania yuko tayari wakati wowote na kwa gharama zozote.
 
Umechangia katika jukwaa na wewe hongera! Zanzibar kabla ya muungano kwani ilikuwa inapata wapi chakula? Hivi kujiona mko karibu na visiwa ndo mnajiona kiwa tuna njaa ya vitu kutoka kwenu? Vitu vinavyotoka kwenu vinafaida gani? Hebu nambie, mi naona ivo vitu ghali kuliko ukiagizia nje! Huijui zanzibar wewe na porojo zako, apo zamani vyakula zanzibar vinatoka bara la ASIA vinakuja apa na hei inakuwa poa mara 1000 kuliko yenu! Eti biashara ya used, wazanzibar ndo wenye biashara weweeeee!!!afu kuna wazenji wanahela chafu wapo uko wanakutunzeni msiokuwa na shukrani nyieee,,,,, nikuulize wewe hivi dunia nzima kuna mtu anahamu ya kukaa na WALEVI,WAVUTA BANGI,WASIOJUA MAANA YA USTAARABU,WAPENDA STAREHE,WATEMBEA UCHI NA WALIOKOSA HAYA NA HESHIMA?

Bado hujasema kitu ndugu

Kaka nakupa like ya nguvu tena ngoja tuwaambie zanzibar ndio nchi ya kwanza kua na umeme wakati mrima kulikua pori zanzibar ndio nchi ya kwanza kwa afrika kuwa na pesa yake leo mkatoliki katupora zote michogo bana vyakula usiseme maji bure umeme tunalipa asilimia 75 siku ukivunjika nitachinja ngombe kumi nitoe sadaka
 
Nina wasiwasi na Akili za wazanzibari / waislamu kwa ujumla.. Bila Kimungunya maneno wanapoweka udini mbele uwezo wao wa kufikiri unakuwa ziro... Tanzania ingeendelea sana Kama isingekuwa Ina wananchi ambao ni wafuasi wa dini hii
 
Wamepiga sana kelele wameona hatujibu kitu, they tried the best they could to shake the tree to se what would fall out of it wameambulia patupu, lakini walipoangalia kwa makini wameona we are after something, something that they are talking about but they dont pray for it to happen....sasa wameamua kujitkenya ili wacheke.
Kwanini mnajidharirisha kwa kiwango hiki enyi nwazanzibar? si mnakatiba yenu, baraza lenu la mawaziri, na baraza la wawakilishi si mnalo? Jitoeni tu muone kama tutawafuata.
Ukimya wetu si ulemavu, bali hatuoni sababu ya kuongea na kujibishana na mpumbavu maana you unaweza ukaishia kuwa kama yeye na kwakuwa ni mzoefu katika ujinga na upumbavu waki ni dhahiri huko atatushinda.....sasa mnajiona kuwa mumeshauingia mtego wa polisi mnatafuta namna ya kujinasua......mmekwisha, we are going to shoot you on sight.
 
mkjj mchonganishi upo ? kuna uzi umeanzishwa na mchambuzi nenda kapate elimu dunia. alau ujifunze somo la justice and balance

Kwenye Uzi wa Mchambuzi MMkj kakimbia na pacha mwenziwe Nguruvi3. Wamekuwa wapotoshaji wakubwa hapa JF.
 
Nina wasiwasi na Akili za wazanzibari / waislamu kwa ujumla.. Bila Kimungunya maneno wanapoweka udini mbele uwezo wao wa kufikiri unakuwa ziro... Tanzania ingeendelea sana Kama isingekuwa Ina wananchi ambao ni wafuasi wa dini hii

Tanzania ingeendelea sana kama kusengelikuwa na kundi ambalo mpaka sasa linamuabudu dikteta Nyerere.
 
Wazanzibari wabaebdelea kudai nchi yao. Nyinyi badala ya kukaa mukaangalia lakufanya, mumeishia kejeli na matusi. Wakati munaendelea na malumbano, Wazanzibari wanazidi kujidhatiti dhidi ya muungano FEKI. FEKI kwa maana haupo ni uozo mtupu. Siku zanzibar itatoka katika muungano ndio siku mutakufa kwa kihoro. Endeleeni na pumba zenu na sisi tunasonga mbele.
 
Wazanzibari wabaebdelea kudai nchi yao. Nyinyi badala ya kukaa mukaangalia lakufanya, mumeishia kejeli na matusi. Wakati munaendelea na malumbano, Wazanzibari wanazidi kujidhatiti dhidi ya muungano FEKI. FEKI kwa maana haupo ni uozo mtupu. Siku zanzibar itatoka katika muungano ndio siku mutakufa kwa kihoro. Endeleeni na pumba zenu na sisi tunasonga mbele.

sie tanganyika hatna shda na nyie,ondoken tu! Tpge kelele ya nin! Nyie nendeni kwenye kajehanam kenu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom