Tunaomba ushauri tuisje tukaharibu

Elizaa

Senior Member
Oct 19, 2010
136
46
Tulifahamiana miaka miwili iliyopita, wote tulikua divorced, kila mmoja ana watoto tayari, watoto wangu niliwaacha kwetu wa kwake tunaishi nao!

Wote ni wafanya biashara, tukaamua kuunganisha biashara zetu tukawa na kampuni mmoja,Yeye akawa na 75 shares na mimi 20 shares.

Tukaanza maandalizi ya kuoana, kabla ya ndoa ilibidi tuanze kuishi pamoja kwa kuwa mmoja wetu si Mtanzania ili tuweze kufanya taratibu za kisheria ndio tufunge ndoa.

Sasa naona siku zinaenda mwenzangu amerilax ukimuuliza anajibu your my wife don't worry. Mtoto wake mmoja hataki hata kuniona kila siku ni visa vya hapa na pale, na yeye mwenzangu anasema mimi ndio sina hekima ya kuishi na huyu mtoto. Inafika hata mahali ananitukana mbele ya wageni!!

sisi wote ni watu wazima umri kati ya miaka 40 kuendelea,

Je nifanye nini? Naomba ushauri wako.
 
mmh sasa mama cha kuchanga mapema nin ??????? ona sasa matatizo hayo
kwanini huyo mwenza nae asipeleke watoto wake kwao?
means anawapenda than you loved your kids,
its not fair bana
mim nakushauri kaa chini muyazungumze maana ukikimbilia kuachana utaachana na wangapi
then???? pole mwaya ipo siku tu thngs will be fine keep on
praying dear mama:embarrassed:
 
Mmh mapenzi ya upande mmoja hayafai. Hebu ongea nae vizuri ujue msimamo wake.
Halafu ujijue sababu za wewe kuachika ndoa ya kwanza. Isije ikawa wewe ndio una matatizo. Na yeye pia kilichomfanya aachane na mke wake, hata yeye anaweza kuwa mtata.
Kumbe vizee vinasumbua navyo.
Nilitaka nijiopolee libabu...lol!
 
umenisikitisha sana Elizaa...Jesus returns to the question of grounds for divorce and confirms his stance in Matthew 5. He says that God intended men and women to marry permanently; divorce is not in God's plan. Haukufanya uamuzi sahihi mwanzo kuamua kuishi na mwanamume bila mibaraka ya Mungu kanisani au popote imani yako ya mungu ilipo kwa kukuambia hilo sasa..weka msimamo wako wa kubariki ndoa yenu wazi kwa huyo baba kama kweli ana mapenzi ya kweli na wewe atakusikiliza ila kazana sana katika maombi na nina imani Mungu hatokutupa. nitakuacha na hili katika biblia "Love never fails. But where there are propheccies, they will cease; where there are tongues, they will be stilled; where there is knowledge, it will pass away."
1 Corinthians 14:1
 
mnh pole,naona ulimove in mapema,hamkujipa muda wa kusomana vyema,
mpe muda huyo baba hajarecover kutoka kny previous relationship/marriage ndio maana hataki kukukimbilia kwenye ndoa kwa sasa.
hata hivyo sidhani kama mapenzi yenu yako kwenye balance,naona amewapa watoto wake kipaumbele zaidi yako,which is wrong alitakiwa awape wewe na watoto kipaumbele EQUALLY.
achana naye,bakini kama bussiness partners tu ama friends with benefits lol,sababu kama amefikia kukugombeza mbele za watu basi ujue hakuheshimu and i doubt mapenzi yake kwako
its time uchukue watoto wako na wewe uwape priority huku ukitafuta mwingine.i know its hard ukiwa na watoto na umri ukiwa umekwenda kufikiria kupata mwanaume mwingine,but believe me its better kuachana hata kama hutapata mwingine,kuliko kukaaa kny UNHEALTHY RELATIONSHIP.
ama kama vipi pima kama which is better kuachana naye,ama kuendelea naye kama unaona huuwezi upweke,visa vyake huyo bwana vinavumilika then gangamala vumilia,ila kama unaona habebeki MPOTEZEEE TU...tafuta mwingine!:embarrassed::embarrassed:
 
wallah nimekosa ushauri katika thread hii ngumu yenye maskitiko na majuto,,,ila inshallah mungu yupo pamoja na wewe naamini kila lenye mwanzo halikosi mwisho,,,, inshallah yatakwisha na utasahau kama yalikukuta inshallah kheri mpenzi wangu hiyo ni sehemu tuu ya maisha,,,na ukiangalia mitihani tulioumbiwa ni sisi wanadam,,,,mungu awe pamoja na wewe eliza,,,wish you all the best,,,,,,,,
 
Pole sana Elizaa naona ulifanya vitu mapema sana maamuzi ya kuunganisha biashara kukaa pamoja pasipo kusomana kwa undani,
Mie nadhani hapo hakuna ndoa na kwa vile una watoto tayari fikilia namna ya kuwatunza wanao na maisha yako ya mbele maswala ya mahusiano ni magumu,
Pia huyu mpendwa wako kanishangaza anapokwambia unakosa hekima ya kukaa na wanae ,hivi unakutana na mtoto alishakuwa mkubwa kama kashindwa ku- accept wewe kama mama yake unadhani utawezaje kumbadilisha? kama angekuwa mdogo sawa ungeweza kumtumza pasipo tofauti lakini hao wa kwako ni sawa na unatwanga maji kwenye kinu
Ni juu yako kufanya maamuzi ya hekima sasa
 
wallah nimekosa ushauri katika thread hii ngumu yenye maskitiko na majuto,,,ila inshallah mungu yupo pamoja na wewe naamini kila lenye mwanzo halikosi mwisho,,,, inshallah yatakwisha na utasahau kama yalikukuta inshallah kheri mpenzi wangu hiyo ni sehemu tuu ya maisha,,,na ukiangalia mitihani tulioumbiwa ni sisi wanadam,,,,mungu awe pamoja na wewe eliza,,,wish you all the best,,,,,,,,
Maneno yamekuishia eeeh, mpe ushauri mwenzako wacha kigugumizi

My take:-
Kaa ongea na huyo mwenzio kwa undani, serious pasipo masihara ujue mustakabali wako kama nikuchukua cha kwako uchukue mapema ukatunze wanao na yeye umwache na wanae, husitake kupata divorce ya pili dada yangu,
 
basi na mimi mawazo yangu kama yako,,,,eeee tena nini??????? kufa kufaana.... nimekufa umenifaa mokoyo
Maneno yamekuishia eeeh, mpe ushauri mwenzako wacha kigugumizi

My take:-
Kaa ongea na huyo mwenzio kwa undani, serious pasipo masihara ujue mustakabali wako kama nikuchukua cha kwako uchukue mapema ukatunze wanao na yeye umwache na wanae, husitake kupata divorce ya pili dada yangu,
 
kwani mie nimefanyaje na wewe??????? sijafanya kosa mie,,,,hiyo kusema umenifaa khaaa,,,, ngoja aje nyongo mkalia ini ndio atanifaa zaidi kama we wataka nchongea tena,,na invyoonyesha we jana ulihuzuria kwenye kikao cha finest,,,afrodenziii,,,na hash,,, sasa ngoja wasikie hizi habariii,,,,,
Asante, ila wasiwasi wangu ni Mhe. hashy akipita huku nahisi na wewe hutokwepa divorce
 
Asanteni sana kwa ushauri, kweli natakiwa kuchukua maamuzi magumu, pamoja na ushauri wenu Mungu atanisaidia. Thank you soo much.
 
kwani mie nimefanyaje na wewe??????? sijafanya kosa mie,,,,hiyo kusema umenifaa khaaa,,,, ngoja aje nyongo mkalia ini ndio atanifaa zaidi kama we wataka nchongea tena,,na invyoonyesha we jana ulihuzuria kwenye kikao cha finest,,,afrodenziii,,,na hash,,, sasa ngoja wasikie hizi habariii,,,,,
kwenye kikao nilikuwepo kama observer tu, kosa hujafanya ila yule Mhe namfahamu anapoona kuna mtu anapata hata asante toka kwako, roho utafikiri inang'oka
 
yaa raaab,,,, yang'oka yenda wapi tena mokoyo mbona hivyoooo??? sasa si umenisaidia kimawazo nisiadhirike jamani,,, we muache hash akinuna ntampoza ila na wewe nakushkuru kiasi flan,tanx,
kwenye kikao nilikuwepo kama observer tu, kosa hujafanya ila yule Mhe namfahamu anapoona kuna mtu anapata hata asante toka kwako, roho utafikiri inang'oka
 
Tulifahamiana miaka miwili iliyopita, wote tulikua divorced, kila mmoja ana watoto tayari, watoto wangu niliwaacha kwetu wa kwake tunaishi nao!

Wote ni wafanya biashara, tukaamua kuunganisha biashara zetu tukawa na kampuni mmoja,Yeye akawa na 75 shares na mimi 20 shares.

Tukaanza maandalizi ya kuoana, kabla ya ndoa ilibidi tuanze kuishi pamoja kwa kuwa mmoja wetu si Mtanzania ili tuweze kufanya taratibu za kisheria ndio tufunge ndoa.

Sasa naona siku zinaenda mwenzangu amerilax ukimuuliza anajibu your my wife don't worry. Mtoto wake mmoja hataki hata kuniona kila siku ni visa vya hapa na pale, na yeye mwenzangu anasema mimi ndio sina hekima ya kuishi na huyu mtoto. Inafika hata mahali ananitukana mbele ya wageni!!

sisi wote ni watu wazima umri kati ya miaka 40 kuendelea,

Je nifanye nini? Naomba ushauri wako.

Unasubiri dalili zipi zaidi ya hizo ndo ujue hakuna prospect kwenye relationship yenu???? Upendo wa kweli huvumilia... huheshimu....
 
:ranger:
kwani mie nimefanyaje na wewe??????? sijafanya kosa mie,,,,hiyo kusema umenifaa khaaa,,,, ngoja aje nyongo mkalia ini ndio atanifaa zaidi kama we wataka nchongea tena,,na invyoonyesha we jana ulihuzuria kwenye kikao cha finest,,,afrodenziii,,,na hash,,, sasa ngoja wasikie hizi habariii,,,,,

:redfaces:
 
Mmh mapenzi ya upande mmoja hayafai. Hebu ongea nae vizuri ujue msimamo wake.
Halafu ujijue sababu za wewe kuachika ndoa ya kwanza. Isije ikawa wewe ndio una matatizo. Na yeye pia kilichomfanya aachane na mke wake, hata yeye anaweza kuwa mtata.
Kumbe vizee vinasumbua navyo.
Nilitaka nijiopolee libabu...lol!

Itakuwa huna msimamo, si ni wewe ulisema hutaki kuolewa bali unataka mtu wa kuzaa naye tu utalea mwenyewe?, samahani kama nimekuchanganya na member mwingine.
 
Asanteni sana kwa ushauri, kweli natakiwa kuchukua maamuzi magumu, pamoja na ushauri wenu Mungu atanisaidia. Thank you soo much.

Lakini kama wewe ndio ulikuwa chanzo au kichocheo cha kuvunjika ndoa yako ya kwanza, basi hilo zimwi la vurugu latakuandama, yakupasa utubu kwa Mungu wako.
 
Back
Top Bottom