Tunaomba tuwasikie tena kibonde na lusekelo kwenye mgomo wa madaktari

support wpn

Senior Member
Dec 30, 2011
151
12
Wanajavi wakati wa mgomo wa daktari tulikua tunawasikia watu wa kada tofauti wakitoa maoni yao kuhusiana na mgomo wa daktari,wengine walikua wakiwapinga madaktari, wengine kusupport madaktari,wengine kusupport serikali kuhusu mgomo,mfano wa kada hizo ni mtangazaji wa clous fm ndg kibonde na mch lusekelo(mzee wa upako),ndg kibonde kupitia kipindi cha jahazi cha redio hiyo na mchungaji lusekelo kupitia kituo cha channeal ten walionyesha hisia zao kali kusupport serikali, so kwa haya makubaliano yaliyofikiwa kati ya serikali na madaktari na kuoneakana kuwa madaktari walikua na madai ya msingi mpaka serikali kufikia hatua ya kauwasimamisha kazi mganga mkuu na katibu mkuu ya wizara ya afya ,ndg kibonde na mch lusekelo wanasimama wapi kwa hali hii serikali kukubari yaishe na kukiri kulikua na mapungufu katika wizara ya afya.Karibuni wajavi tujadili,MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE
 
msipoteze muda kumjadiri mutu kama kibonde anaependa kujipendekeza kwa wakuu, na Lusekero hawa ndo wauza dawa za kulevya, maana wanaogopa serikali isije mubana, wote hawa hawafafai
 
Tatizo kubwa la watu kama hawa ni kukurupuka kufanya hitimisho bila kuwa na takwimu sahihi kutoka pande zinazohusika. Kutokana na hilo hakuna chochote cha maana unachoweza kupata kutokana na tabia hiyo.
 
Back
Top Bottom