Tunaomba msimamo wa Chadema Kupitia Kwa Dr Slaa.

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,652
2,627
Nchi imetaharuki ufisadi kufumbiwa macho,hapa nipo philips Arusha,namwona CAG anapita na shangingi lake shavu dodo lenye namba hizohizo CAG,akielekea moshi nikatamani kumsimamisha nimwambie 'kama ukokotoaji wako hauthaminiwi achia ngazi kwani wanaona U done nothing.KITENDO cha Rais kikwete kuwabeba mawaziri yajionesha kuwa ni Genge lake lililodhamiria kufanya wizi hata wa mchana kwa kuwa HAWANA CHA KUPOTEZA.NATARAJI KU_ STEAP ASIDE KWA PM MIZENGO PINDA PIA KWA KUDHARAULIWA NA PIA NATARAJI WABUNGE WA JAMHURI BILA KUJALI ITIKADI ZAO KUONYESHA KUWA WANANCHI WAMEWATUMA KTK KIKAO CHA KESHO..Hii ni dharau na ufisadi wa hali ya juu kana kwamba mtu huyu anadhani anaongoza k.enge maji.KWA NJIA NYINGINE NATARAJI kusikia kauli ya chadema kuhusu sakata hili la ufisadi kulindwa na ccm na pia KUSHUKURU KWA KUWA UAMUZI HUU UMEMPA KAMANDA GODBLESS LEMA JAMBO MUHIMU LA KUWAELEZA WATZ KTK VUGUVUGU LA M4C.
 
Mkuu vuta subira, unamjua Dr. Slaa si mtu wa kukurupuka. Atasema jambo baada ya kikao cha kesho mbungeni.
 
CMDEMA tutatoa tamko usiwe na wasiwasi lakini kumbuka haya yote unayoyaona tayari CHADEMA ilishayasema soma ILANI YA CHADEMA 2010
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom