Tunaomba Filikunjombe atoe hadharani mawaziri wezi woote

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,338
Unajua CCM kuna siku mtaaibika na hamtasahau,mnakumbatia sana wezi kumbe mnawajua kabisa wanaofuja na kutumia madaraka vibaya,inahitaji kitu gani kuwaweka hadharani na wakawajibika ? Jipangeni tutawatoa wote pamoja na huyo asietaka kuwataja
 
Back
Top Bottom